Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila asimamia ubomoaji wa nyumba ya Mwananchi

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila asimamia ubomoaji wa nyumba ya Mwananchi

Nilishagoma kuamini kama kuna uchawi kabisa mimi. Haya mambo ni uchawi tu dawa yao..
 
Hifadhi ya Barbara
Safi, nilipo ona hifadhi ya barabara nikashutuka! Watu wengine wanajenga kwa kiburi aidha kwa kushirikiana na viongozi wa S/za mitaa na kuuziana maeneo ya hifadhi ya barabara, likisha waka serikali unaonekana mbaya.

Hapa wananchi pamoja na viongozi tubadilike.
 
Mbeya pamoja na kuroga weeee!! Kuchuna watu ngozi bado mnaonewa kijinga sana

Tarime kuree huyu alishaga shushwa mabega kitambo sana tena mchana kweupeeee!!

Tena mbele ya mlinzi wake!! Akalinde vizuri. hawa muui ila mabega yanakatwa ashindwe kushika mic vizuri
 
Back
Top Bottom