Mkuu wa Mkoa wa Morogoro litazame eneo la nane nane. Ni kero kwa foleni

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro litazame eneo la nane nane. Ni kero kwa foleni

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Kwaujumla watumiaji wa barabara ya morogoro eneo kuanzia Chuo Kikuu cha Jordan mpaka oilcom kumekuwa na foleni kubwa sana inayofanya watumiaji wakifika hapo kupoteza muda mwingi sana.

Hakuna utaratibu mzuri uliowekwa ambao ungeruhusu magari yasiyo ya mizigo kupita kwa urahisi bila kero.

Barabara hiyo kwasasa hata kabla ni muhimu sana na nyeti kwakuwa inaelekea nchi nyingi sana za jirani zambia, congo, rwanda, burundi, uganda. Serikali ya mkoa ifanye mpango kuondoa hiyo kero haraka sana..
 
Back
Top Bottom