Mkuu wa Mkoa wa Mwanza "ashtushwa" kufungiwa kwa kiwanja cha CCM Kirumba

hebu leta hivyo vipengele mama
Kwanza niko over 30 πŸ˜†
  • sijasoma nmeishia la 7
  • sina fani
-Sina kazi wala shuguli yeyote
-Bonge
-mbishi
-Mvivu
-Sio single mom ila tayari red flag umri huu sina mtoto
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† zimetosha mana ziko nyingi
 
Kazi sana bodi ya ligi inatakiwa ivunjwe kwa kufuata utaratibu.....wasisahau tume ya Olympicivunjweeee
 
Kwanza niko over 30 πŸ˜†
  • sijasoma nmeishia la 7
  • sina fani
-Sina kazi wala shuguli yeyote
-Bonge
-mbishi
-Mvivu
-Sio single mom ila tayari red flag umri huu sina mtoto
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† zimetosha mana ziko nyingi
mi nakutaka hivyohivyo
 

Huyu Mh sana anachanganya madesa ya siasa na professional views zake, yeye anaangalia vitu kama maji, Choo, viti, vyumba vya kubadilisha nguo etc...
Anasahau kuwa "Pitch" ndio corestone ya Habari yote na sitomshangaa yeye na nduguze siku ya kwanza uwanja utakapofunguliwa akapeleka Bonanza kufungua uwanja au akawapeleka UvCCM kucheza gwaride kwenye hiyo Pitch ground,
Fikiria uwanja wa Mpira unakuwa Ni uwanja wa gwaride la wajeda kwa masaa mawili bado hapo utaita uwanja wa Mpira? Mara Mwamposa anakesha na watu wake wakisakata rumba mle mpaka asubuhi, Hebu tujifunze kwa wenzetu ambao hata ukitembelea viwanja vyao tena kwa malipo lakini kamwe hutakaa ukanyage pitch yao
MPIRA NI MPIRA NA SIASA NI SIASA TUVITENGANISHE
 
Nashabikiaga Madrid ila tangu waondoke wakina Benzema/Marcelo/Ronaldo/Ramos nikaachaga kushabikia mana hata ivyo majuu mm sio shabiki saana nasapoti ligi ya ndani
Hawa wakina Vin na Camavinga mm kwakweli hapana

Unawezaje kufuatilia huu utopolo wa bongo uliojaa uchawa na upumbavu endelevu namna hii?
 
Nikipata mke kama huyu familia yangu itakua na raha sanaaa

Mwanamke anajua mpira mpaka namuogopa
 
Unawezaje kufuatilia huu utopolo wa bongo uliojaa uchawa na upumbavu endelevu namna hii?
Siunajua tena mkataa kwao Mtumwa
Tunafatilia sa tutafanyaje mkuu japo unatia hasira
Nikipata mke kama huyu familia yangu itakua na raha sanaaa

Mwanamke anajua mpira mpaka namuogopa
Sina mambo mengi kabisa mimi ni watoto, mume, mpira tena mpira home sio vibandani
 
Wwnalalamika nini? Manyasi ya tangu mwaka 1990 yameshaweka mpaka visiki, mvuanikija uwanja umejaa majina. Wafanye mabadiliko wasiwe na tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…