Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Utopolo mnacheza lini?Hai ingizi akilini timu kubwa kama Simba iogope meneja msaidizi mmoja asiangalie kinacho endelea uwanjani kama yeye atacheza uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo mnacheza lini?Hai ingizi akilini timu kubwa kama Simba iogope meneja msaidizi mmoja asiangalie kinacho endelea uwanjani kama yeye atacheza uwanjani
Ndugu sio kama Simba uwanja ni wao hapana, wanatakiwa ku utumia uwanja kabla ya mechi kwaajili ya mazoezi, Sio kama Simba wakifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi basi watendaji wa uwanja wasiwepo.Pamba na hao viongozi wao pamoja na Mkuu wa Mkoa walikosea kwenda hapo kiwanjani kama leo ipo gemu jana kwa sheria za FIFA Simba uwanja ni wao kwa mida ya jioni..
Mkuu usinielekeze vitu vidogo kuwa Uwanja wa Mwanza ni wa Simba mimi ni mtu wa mpira toka Pamba ipo na kina Hussein Marsha,Fumo Fecian,Simba ina wakina Gagalino Yanga Said Mwamba Kizota,Reli Moro ina kina Mbui Yondani,Tukuyu Stars ina kina Jimmy Mored,Stive Mussa(RIP) pana watu wakuitwa Madata Lubigisa au Peter Tino maji maji hiyo wakiwa na Selestine Sikinde Mbunga..Ndugu sio kama Simba uwanja ni wao hapana, wanatakiwa ku utumia uwanja kabla ya mechi kwaajili ya mazoezi, Sio kama Simba wakifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi basi watendaji wa uwanja wasiwepo.
Yaani ata meneja asiwepo we umeona wapi mambo ayo, Sasa iyo milango atawafungulia nani au Simba wanakabidhiwa funguo za uwanja mzima waendelee na Matumizi ya uwanja mzima!!
Lazima watendaji wa uwanja wawepo na ilo halina shida kwakua wanafahamika.
Sasa kwenda kumfuata meneja msaidizi wa uwanja ofisini kwake na kuvunja mlango na Dirisha maana yake Nini?
Uo ni uhuni wa makomandoo wavuta bangi ambao kunasiku watatutia aibu kama Taifa kama ilivyo tokea kule South Africa kwa ajili ya kitimiza mtendo ya ushirikina.
Ndugu hakuna Kiongozi wa Pamba aliyekua uwanjani, alikuwepo meneja msaidizi Tena ofisini ata kama viongozi wa Pamba walikuwepo iyo haizuii Simba kufanya mazoezi na kutumia ripoti bodi ya Ligi wakiwa na ushahidi wa video.Mkuu usinielekeze vitu vidogo kuwa Uwanja wa Mwanza ni wa Simba mimi ni mtu wa mpira toka Pamba ipo na kina Hussein Marsha,Fumo Fecian,Simba ina wakina Gagalino Yanga Said Mwamba Kizota,Reli Moro ina kina Mbui Yondani,Tukuyu Stars ina kina Jimmy Mored,Stive Mussa(RIP) pana watu wakuitwa Madata Lubigisa au Peter Tino maji maji hiyo wakiwa na Selestine Sikinde Mbunga..
Nimesikia viongozi wa Pamba walikuwepo hapo Uwanjani ndio maana nimesema hiyo sio sawa kufanya hivyo kwa kanuni za mpira zinavyosema kwa jana.
Kwani maandamano yanaruhusiwa ili wanasimba tuchangamke?Kama ilivyo kasumba ya Kila kiongozi kutaka aonekane anamfirahisha mama.
Leo RC Mtanga amevamia mazoezi ya Simba kwa kutumia polisi.
Hili ni athali ya Imani kuwa Mama anafurahia kuona Simba ikiteseka. Kwahiyo anatumia mwanya huo wa Mamlaka yake kuvamia timu ya Simba Ili kumfurahisha mama.
Tunasubiri kuona hatuja zitakazo chukuliwa na Mamlaka za uteuI.
Endapo hakuna hatua yoyote juin yake basi huo ni ujumbe wa wazi kuwa Mama amefurahi Simba kuvamiwa na endapo akichukuliwa hatu ni Imani yatu kuwa mama hakubalianai na ujinga huo.
Kumbuka zilianza tuhuma za Mawaziri saba kuingilia michezo na kushinikiza matokeo Lakini Mama alikaa kimya na hakuna tume ya uchunguzi. Hivyo kuendelea kwa matukio haya tunashawishika kuamini kuwa penguine Kuna maelekezo toka juu
Kilichowatoa yanga Azam ni kudhibitiwa kuloga ndio maana mmeshikilia kuwa Simba walizuiwa kufanya uloziNdugu hakuna Kiongozi wa Pamba aliyekua uwanjani, alikuwepo meneja msaidizi Tena ofisini ata kama viongozi wa Pamba walikuwepo iyo haizuii Simba kufanya mazoezi na kutumia ripoti bodi ya Ligi wakiwa na ushahidi wa video.
Simba walikua na kitu Cha ziada kilicho hitaji mtu yoyote asiwepo uwanjani na vitu hivyo sisi watu wa mpira tuna vifahanu.
Simba waliogopa kurekodiwa kwa mambo ambayo ya kishirikina wanayo Fanya wakati wa ukaguzi wa Uwanja.
Ndio sababu walikwenda kumfungia meneja vyumbani uku waki endelea kufanya Yao, haitoshi waka haribu dirisha na mlango wa ofisi ya meneja wa Uwanja na ao ni wale vijana makomando Njaa wanao safiri na timu ambao wote tunawafahamu.
Kilichowatoa yanga Azam ni kudhibitiwa kuloga ndio maana mmeshikilia kuwa Simba walizuiwa kufanya ulozi
Umeolewa? Una miaka mingapi?Umeandika ujingaujinga.
Wewe utopolo umezaa wajukuu wangapi?Umeolewa? Una miaka mingapi?