Mkuu wa mkoa wa Mwanza hajavamia mazoezi ya Simba ni uzushi

Pamba na hao viongozi wao pamoja na Mkuu wa Mkoa walikosea kwenda hapo kiwanjani kama leo ipo gemu jana kwa sheria za FIFA Simba uwanja ni wao kwa mida ya jioni..
 
Pamba na hao viongozi wao pamoja na Mkuu wa Mkoa walikosea kwenda hapo kiwanjani kama leo ipo gemu jana kwa sheria za FIFA Simba uwanja ni wao kwa mida ya jioni..
Ndugu sio kama Simba uwanja ni wao hapana, wanatakiwa ku utumia uwanja kabla ya mechi kwaajili ya mazoezi, Sio kama Simba wakifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi basi watendaji wa uwanja wasiwepo.

Yaani ata meneja asiwepo we umeona wapi mambo ayo, Sasa iyo milango atawafungulia nani au Simba wanakabidhiwa funguo za uwanja mzima waendelee na Matumizi ya uwanja mzima!!
Lazima watendaji wa uwanja wawepo na ilo halina shida kwakua wanafahamika.
Sasa kwenda kumfuata meneja msaidizi wa uwanja ofisini kwake na kuvunja mlango na Dirisha maana yake Nini?
Uo ni uhuni wa makomandoo wavuta bangi ambao kunasiku watatutia aibu kama Taifa kama ilivyo tokea kule South Africa kwa ajili ya kitimiza mtendo ya ushirikina.
 
Mkuu usinielekeze vitu vidogo kuwa Uwanja wa Mwanza ni wa Simba mimi ni mtu wa mpira toka Pamba ipo na kina Hussein Marsha,Fumo Fecian,Simba ina wakina Gagalino Yanga Said Mwamba Kizota,Reli Moro ina kina Mbui Yondani,Tukuyu Stars ina kina Jimmy Mored,Stive Mussa(RIP) pana watu wakuitwa Madata Lubigisa au Peter Tino maji maji hiyo wakiwa na Selestine Sikinde Mbunga..
Nimesikia viongozi wa Pamba walikuwepo hapo Uwanjani ndio maana nimesema hiyo sio sawa kufanya hivyo kwa kanuni za mpira zinavyosema kwa jana.
 
Ndugu hakuna Kiongozi wa Pamba aliyekua uwanjani, alikuwepo meneja msaidizi Tena ofisini ata kama viongozi wa Pamba walikuwepo iyo haizuii Simba kufanya mazoezi na kutumia ripoti bodi ya Ligi wakiwa na ushahidi wa video.

Simba walikua na kitu Cha ziada kilicho hitaji mtu yoyote asiwepo uwanjani na vitu hivyo sisi watu wa mpira tuna vifahanu.

Simba waliogopa kurekodiwa kwa mambo ambayo ya kishirikina wanayo Fanya wakati wa ukaguzi wa Uwanja.

Ndio sababu walikwenda kumfungia meneja vyumbani uku waki endelea kufanya Yao, haitoshi waka haribu dirisha na mlango wa ofisi ya meneja wa Uwanja na ao ni wale vijana makomando Njaa wanao safiri na timu ambao wote tunawafahamu.
 
Kwani maandamano yanaruhusiwa ili wanasimba tuchangamke?
 
Kilichowatoa yanga Azam ni kudhibitiwa kuloga ndio maana mmeshikilia kuwa Simba walizuiwa kufanya ulozi
 
Sasa hao vijana ambao walifungiwa nani, walichukuliwa na police? Na kwann walikuwa pale wakati kanuni haziwaruhusu wao kuwa hapo? Kama mkuu wa mkoa alienda kukopa hao vijana, tena akiwa na police.kwanini awaite maafisa wasimba?? Si angejielekeza kwenye tukio! amesema mabaunsa wa Simba, walishavunja vioo na Sasa walikuwa wanavunja mlango.nina aliyekuwa kwenye hatari zaidi?? kwani ilitosha kabisa yeye kuamuru kuokoa walikuwa washambuliwa na sio kuita viongozi wa Simba!! Hii inafikirixha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…