Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia?
Hihi kweli RC wangap tunaompenda Mhe Rais tumekwazwa na wewe kwa tukio la jana, nilipoona baada ya zile clip ukakimbilia haraka haraka kutoa press halaf ukamrushia Jemedari Said na yeye alivyokuwa punguani akairusha haraka haraka, kwann hukuwa mtulivu kwanza na badala yake ukakimbilia kutoa taarifa na kuimwaga kwenye mitandao?
Mtanda, Rais akikutengua leo utamlaumu nani?
Mtanda, makosa yako haya haya yalimfanya Magufuli akudhalilishe kwenye mkutano wake na akakuadhibu umlipe mwananchi sh milioni 10 na ulilipa kweli wakat huo ukiwa DC.
Mtanda, mbona RC Morogoro Adam Malima ni Simba lkn hafanyi utoto kama ule wa jana.
Ulikuwa na lengo gan kwa kufanya yale had leo Simba wanatoa taarifa yao hadharani dhidi yako, Simba Ina mashabiki wengi sana huko Mwanza huoni kwa tukio la jana umejenga uhasama mkubwa na Simba na mashabiki wake.
Unadhani mashabiki wa Simba tutakupenda kweli?
Rais anawataka mtatue kero za wananchi ss jana umetatua kero au umeongeza kero, Mtanda umeharibu sana, Omba radhi tafadhali.