masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mtoa mada arudi kujibu hivi vijembe.Mndeme?
Mndeme ni Wapare!
Mndeme awe Mnyamwezi wa Tabora?
Thats new to me!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada arudi kujibu hivi vijembe.Mndeme?
Mndeme ni Wapare!
Mndeme awe Mnyamwezi wa Tabora?
Thats new to me!
Labda anatumia surname ya mumewe, ngoja mleta mada aje atupe majibu asisahau na picha pia aainishe miradi ya maendeleo aloanzisha huyo mama huko ruvuma maana hizi sifa si mchezo na hiyo ruvuma ingekuwa Durban sasa hivi.
Tayari alishamtokea home akamkuta Mama anapiga zake ugali kwa mlenda. Tusubiri akishamaliza kula Jamaa ataongea nae kisha atatupa mrejesho.Mkuu si ungemtokea tu mazima "kibaharia" mbona unapitia njia ndefu hivi,, "jikoki" umtokee mwenyewe kiume kama ni wa kuelewa somo atakusoma tu mwana
Inawezekana Mndeme ni jina la mumewe, kuna wanawake wengi wanatambulika kwa majina ya waume zao......labda!Mndeme hawezi kuwa mwenyeji wa Igalula Tabora!! Mndeme ni Mpare halisi wa Same! Ni haki yako kumsifia Mndeme lakini punguza chumvi!! File lake tunalo!!
Mme wake ndo Mpare. Unajua wanawake wakiolewa huwa wanabadili surname right?Mndeme hawezi kuwa mwenyeji wa Igalula Tabora!! Mndeme ni Mpare halisi wa Same! Ni haki yako kumsifia Mndeme lakini punguza chumvi!! File lake tunalo!!