Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, ametembelea kambi ya Tabora United na kutoa motisha kwa wachezaji wake.
RC Chacha amewaahidi wachezaji wa Tabora United kitita cha shilingi milioni 60 endapo watafanikiwa kushinda mchezo huo dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Milioni hamsini ipo tayari, na nitaongeza milioni kumi. Kwa hiyo, nitakuja kuangalia mpira tarehe mbili nikiwa na milioni sitini mezani kwa ajili yenu. Nitaitoa kwenu," alisema RC Chacha.
Soma Pia: RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC