Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yeye atoe ata bilioni but Tabora lazima achapike atake asitake!Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, ametembelea kambi ya Tabora United na kutoa motisha kwa wachezaji wake.
RC Chacha amewaahidi wachezaji wa Tabora United kitita cha shilingi milioni 60 endapo watafanikiwa kushinda mchezo huo dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Milioni hamsini ipo tayari, na nitaongeza milioni kumi. Kwa hiyo, nitakuja kuangalia mpira tarehe mbili nikiwa na milioni sitini mezani kwa ajili yenu. Nitaitoa kwenu," alisema RC Chacha.
Soma Pia: RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
UJinga tu huuuKuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, ametembelea kambi ya Tabora United na kutoa motisha kwa wachezaji wake.
RC Chacha amewaahidi wachezaji wa Tabora United kitita cha shilingi milioni 60 endapo watafanikiwa kushinda mchezo huo dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Milioni hamsini ipo tayari, na nitaongeza milioni kumi. Kwa hiyo, nitakuja kuangalia mpira tarehe mbili nikiwa na milioni sitini mezani kwa ajili yenu. Nitaitoa kwenu," alisema RC Chacha.
Soma Pia: RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Zilee bil 300.Oy wanangu hivi hawa wazee pesa wanatoaga wapi?
Mmeshatishia kuua familia za watu mkitoa sare,na serikali haijawakamata wahusika,mtashinda kwa sababu ya ugaidi siyo mpiraYeye atoe ata bilioni but Tabora lazima achapike atake asitake!
Ukitishiwa kifo nenda katoe taarifa polisi ili wahusika wachukuliwe hatua.Mmeshatishia kuua familia za watu mkitoa sare,na serikali haijawakamata wahusika,mtashinda kwa sababu ya ugaidi siyo mpira
Ni kweli kwakuwa tuliwapiga mara 4 mfululizo kwa sababu ya ugaidi na Tabora atapitia mlango huo huo wa ugaidi mliopitia nyieMmeshatishia kuua familia za watu mkitoa sare,na serikali haijawakamata wahusika,mtashinda kwa sababu ya ugaidi siyo mpira
Hizo pesa za hamasa si Bora wangewalipa mishahara yao wanayodai, tutakutana uwanjaniWanacheza lini hiyo gemu hamasa ni nzuri za mkuu wa Mkoa ila wakomae kweli maana hiyo mechi ni vita..
Achapike au wewe ndo ashakuchapisha...yule msanii wenu nae alikua bange akatunga wimbo ati hiii yanga unaifungajeeeeee,si ulifungwa???Yeye atoe ata bilioni but Tabora lazima achapike atake asitake!
Akuna timu duniani aijawai kufungwa,,na tabora kumfunga yanga ilikuwa kama bahati ya mende kuangusha kabati usitegemee ilo litokee tenaAchapike au wewe ndo ashakuchapisha...yule msanii wenu nae alikua bange akatunga wimbo ati hiii yanga unaifungajeeeeee,si ulifungwa???