Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mpira wa Bongo umetawaliwa na Siasa ukite hizo pesa kapewa tu Mkuu wa Mkoa atangaze ila zilikotoka yeye ndio anajua..Hizo pesa za hamasa si Bora wangewalipa mishahara yao wanayodai, tutakutana uwanjani
Hizo ajatoa yeye kapewa na wale mbumbumbu but cha ajabu akuzitoa kwenye mechi ya FA na Tabora akatandikwa na kutupwa nje ya michuano na Kagera sugar,,ligi Ina michezo 30 lakini unatoa pesa za hamasa kwenye mechi 2 au 3 na mechi nyingine unapoteza sijui hapo unakuwa na akili timamu au matope!Mpira wa Bongo umetawaliwa na Siasa ukite hizo pesa kapewa tu Mkuu wa Mkoa atangaze ila zilikotoka yeye ndio anajua..
Hiyo ni michango ya wafanyabiashara chawaMshahara wa rc upo chini ya m 5 halafu anatoa ahadi ya sh m 60 hii ni dhihaka kubwa sana Kwa walipa kodi
Hayo ni madunduka yana act kuichafua Yanga. Iwe tukio la kweli na Karai huyu mwenye usongo na UTO iachwe ipite hivi hivi tu?Mmeshatishia kuua familia za watu mkitoa sare,na serikali haijawakamata wahusika,mtashinda kwa sababu ya ugaidi siyo mpira
treh 2 jumatanoWanacheza lini hiyo gemu hamasa ni nzuri za mkuu wa Mkoa ila wakomae kweli maana hiyo mechi ni vita..
OK sawa sawatreh 2 jumatano
Timu kama haina uwezo, hata uwape kiasi chochote cha fedha ili ishinde, itashindwa tu.Akuna timu duniani aijawai kufungwa,,na tabora kumfunga yanga ilikuwa kama bahati ya mende kuangusha kabati usitegemee ilo litokee tena
Kwakweli heeee,toka umeishi kwenye hii dunia ya teknolojia umewai ona wapi ati mende anasukuma kabati?yani ufungwe useme bahati???? Goli tatu????mara mende?sa kama mende wewe ndo utakua mende maana mfano ulio hai ungekua kabati limeangukia mende na mende kafa.ulikufa tatu tena hivyo hivyo kama mende ananavyokufa...aka kifo cha mendeAkuna timu duniani aijawai kufungwa,,na tabora kumfunga yanga ilikuwa kama bahati ya mende kuangusha kabati usitegemee ilo litokee tena
Msimu huu kimataifa kule kwenye klabu bingwa nani kakufunga 3??? Hakuna tabora tuuuu mimi kukupa habari.wewe ndo mende.kabati ikiangukia mende sharti afe.we mende wenu wanasukuma kabati mkuu???kwakweli...Akuna timu duniani aijawai kufungwa,,na tabora kumfunga yanga ilikuwa kama bahati ya mende kuangusha kabati usitegemee ilo litokee tena
Mbumbumbu mna matatizo makubwa Tena sio kidogo,,basi subilia Tabora amfunge yanga kwa mara ya pili pongezi zangu utazipata!Kwakweli heeee,toka umeishi kwenye hii dunia ya teknolojia umewai ona wapi ati mende anasukuma kabati?yani ufungwe useme bahati???? Goli tatu????mara mende?sa kama mende wewe ndo utakua mende maana mfano ulio hai ungekua kabati limeangukia mende na mende kafa.ulikufa tatu tena hivyo hivyo kama mende ananavyokufa...aka kifo cha mende
Wahujumu uchumi tu hakuna jipya hapo,wanajifanya wanatoa hamasa za kimichezo kujiosha tuOy wanangu hivi hawa wazee pesa wanatoaga wapi?
Ujinga tu. This time hata wakamieje, lazima watafungwa tu hapo hapo kwenye hilo jaruba lao la mpunga.Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, ametembelea kambi ya Tabora United na kutoa motisha kwa wachezaji wake.
RC Chacha amewaahidi wachezaji wa Tabora United kitita cha shilingi milioni 60 endapo watafanikiwa kushinda mchezo huo dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Milioni hamsini ipo tayari, na nitaongeza milioni kumi. Kwa hiyo, nitakuja kuangalia mpira tarehe mbili nikiwa na milioni sitini mezani kwa ajili yenu. Nitaitoa kwenu," alisema RC Chacha.
Soma Pia: RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Kodi zetu zinatafunwa sanaMshahara wa rc upo chini ya m 5 halafu anatoa ahadi ya sh m 60 hii ni dhihaka kubwa sana Kwa walipa kodi