Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

Back then nilikuwa bado young sana na sidhan kama hata form 4 nilikuwa nimemaliza. Ukisoma Comment unaona Generation ya kipindi kile ilivyokuwa na akili

Kwa sasa Mungu ametulaani na watu kama kina Lucas Mwashambwa.

Ukweli Najivunia kusoma Comment na kupima uwezo wa generation ya kipindi kile.

Generation ya inayokuwa kwa sasa, itakuja kushangaa snaa comment kama za kina Lucas …….. ni aibu tupu

VIVA JF , a place of everything!
 
Hii bado ipo tu
 
Lilikufa kifo kibaya hili likuu la mkoa, baada ya taarifa ya kifo chake wana wa kawe waliandaa party tulienda Bar moja pale Tegeta ilikuwa inaitwa Kapongo villa tukaenda kusherehekea kifo cha Ditopile
 
Alifia Hotel , nadhan walimmaliza kimya kimya….. ilionekana ni kama anamchafua Muheshimiwa
 
Maisha haya bhana...
 
Daaaah!!!! Umenikumbusha mbali sana, nilikuwemo kwenye basi la dereva aliyepigwa risasi.
 
.........Ditopile, alimfuata marehemu na kumtaka ashuke katika gari alilokuwa akiliendesha ili aende kushuhudia uharibifu uliotokea na kisha waende polisi.

Hata hivyo, mashuhuda hao, walisema marehemu, alimweleza Ditopile kuwa ajali hiyo ilitokea kwa bahati mbaya na kumwomba msamaha kwa tukio lililotokea.Walisema mkuu huyo wa mkoa, hakukubaliana na utetezi huo na badala yake aliendelea kumwamuru marehemu ashuke kwenye gari na kumtaka akaeleze maneno hayo polisi.....

Umegundua nini hapo?
 
Lilikufa kifo kibaya hili likuu la mkoa, baada ya taarifa ya kifo chake wana wa kawe waliandaa party tulienda Bar moja pale Tegeta ilikuwa inaitwa Kapongo villa tukaenda kusherehekea kifo cha Ditopile
Hivi hukumu yake ilikuaje?
 
Lingetokea hili tukio awamu hii hata kesi isingefika mahakamani yule polisi msimbe angemuuzia kesi marehemu dereva
 
It is terrible! I cant believe am reading this, it is like I am just dreaming!

Sasa tuone hiyo sheria kama itauma kweli. Tulimsifia sana JK jinsi alivyohandle ile kesi ya Sinza; nafikiri huu ndio mtihani mkubwa zaidi kwa JK kuliko ule wa Sinza.
Time when Kitila was a Goodman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…