Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwa mwezi huuu tu nimeona post za RC wa Tabora akiamuru mtu afukuzwe kazi ama aondokee kwenye Mkoa wake.
Vyema ningependekeza tu hekima ifwate kuwaondoa hawa watu;
2. Sidhani tunahitaji kumwona kila saa kwenye hizi RC amfukuza mtu fulani.
3. RC aamuru mtu flani akamatwe.
4. Aamuru xxx aondokee Mkoa wake.
Haya mambo naamini mna procedure za kumwondoa mtu kazini hata kama ameharibu amekosea malizeni vikao vyenu. Wajuzeni mabosi wake alikosea hapa na pale. Nao waone wanafanyaje.
Hawa mimi aowanyesha kwenye ma tv wana familia, wana watoto, wao wanaona mnavyowaaumuru ondoka nisikuone chukueni.
Imagine, MMOJA WA NDUGU zenu anatimuliwa mbele za watu hivyo mngejisikiaje. Naamini Wana stahiki zao na wanapokosea mna sehemu ya kupeleka malalamiko yao waondoke mnavyotaka ama lah waonywe.
Sio kila kikao unahitaji kuonyesha watu huyu aondokee Tabora nisimwone. Mkumbuke ana watoto wa shule kawatoa labda dar es salaam kumhamisha Tabora. Atoke tbt akatafutiwe shule zingine huko mbele sio nzuri.
Je, hamuoni na watoto nao wana haki za kuwaona baba zao wakiwa makazini?...Mungu anajibu kwa moto haya mambo.
KUNA boss MMOJA aliwatimuwa watu sana ofisi Moja enzihizo, alipoingia mwemdazake akawekwa ndani na kesi ya ajabu leo anapelekewa chai segadance.
Mimi hili la kutimuana MBELE za watu na uzalilishaji tubadilike
All the best.
Tufuate procedure!