Bunge la Wananchi
Member
- Jan 30, 2023
- 16
- 14
Atateuliwa mwingine mbovu zaidi wacha aendelee huyu huyuMkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa anawajibika?
Chalamila ni shida kubwa ila kweli jamaa bingwa hadi leo bado ni RC?Atateuliwa mwingine mbovu zaidi wacha aendelee huyu huyu
Ni mshirikina vibaya sn hata kama ungekuwa ni wewe usingemuachaChalamila ni shida kubwa ila kweli jamaa bingwa hadi leo bado ni RC?
mbona anaonekana mcha mungu sana mtu wa dini sanaNi mshirikina vibaya sn hata kama ungekuwa ni wewe usingemuacha
Huo ni utapeli tupu, mchana kanisani usiku kucha kwa wagangambona anaonekana mcha mungu sana mtu wa dini sana
Mnapenda ukweli lakini hamtaki kuambiwa ukweliChalamila ni shida kubwa ila kweli jamaa bingwa hadi leo bado ni RC?