Mkuu wa Mossad katika hotuba adimu: "Mossad ina uwezo mkubwa na usiofikirika ndani ya Iran" kuna watu walikuwa wanasema Iran haiingiliki sisi Mossad tumejipenyeza kila sehemu mpaka katikati ya Tehran,
Tunakushukuru Waziri Mkuu na waziri wa ulinzi kwa kuidhinisha kila Operation tuliyoipanga dhidi ya Iran, tunaendelea kujitanua ndani ya Iran ili kuilinda nchi yetu ya Israel. Tunaendelea kuiangalia Iran kwa hicho la tatu na hatutaruhusi mawazo yoyote ya kutaka kuidhuru nchi yetu!!!
My take Iran ana Kazi ngumu sana huko mbele Gaidi Ayatollah anaweza kufa kabla ya siku zake!!!! Webabu mdogoye gTurn Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz
View attachment 3476346
Hizo ni propoganda hawana jipya afu video yenyewe hata haifungukiMkuu wa Mossad katika hotuba adimu: "Mossad ina uwezo mkubwa na usiofikirika ndani ya Iran" kuna watu walikuwa wanasema Iran haiingiliki sisi Mossad tumejipenyeza kila sehemu mpaka katikati ya Tehran,
Tunakushukuru Waziri Mkuu na waziri wa ulinzi kwa kuidhinisha kila Operation tuliyoipanga dhidi ya Iran, tunaendelea kujitanua ndani ya Iran ili kuilinda nchi yetu ya Israel. Tunaendelea kuiangalia Iran kwa hicho la tatu na hatutaruhusi mawazo yoyote ya kutaka kuidhuru nchi yetu!!!
My take Iran ana Kazi ngumu sana huko mbele Gaidi Ayatollah anaweza kufa kabla ya siku zake!!!! Webabu mdogoye gTurn Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz
Warushe jiwe Tena, safir hii hatutak kuomba poooh
Mimi upande wangu sikatai Mossad wanajitahidi sana kuhonga ili wapate infomation kwa kuwa ajiri wajinga kuspy nchi zao, kama walivyo fanya Iran. Lakini ukweli uko wazi Israel hana ubavu wakupigana na Iran.Itafunguka tu kwako kama utapaka wanja vizuri!!!!
Katika vita vya siku 12 nitajie kafa kiongozi gan Israel?...Mimi upande wangu sikatai Mossad wanajitahidi sana kuhonga ili wapate infomation kwa kuwa ajiri wajinga kuspy nchi zao, kama walivyo fanya Iran. Lakini ukweli uko wazi Israel hana ubavu wakupigana na Iran.
Toka lini Israel aliwanika makamanda zake mpaa tuwajue 😄 🤣 ndio sababu hata wakiuliwa hatujui wamekufa wangapi.Katika vita vya siku 12 nitajie kafa kiongozi gan Israel?...