tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama unatoa povu wakati mimi nilikua nauliza tu!Wewe unafikiria kama hizo tuhuma zingekua kweli angeendelea kuwa gavana wa Mombasa hususan wa chama cha upinzani, aidha inawezakana kweli lakini awe amejilinda kwa nguvu zote kwa kufuta chochote kinachoweza kuthibitisha. Mbona juzi tu huyo huyo Joho alikua Marekani, unafikiria wale wanaweza kumuachia atie kambi kwao huko kama kuna kaukweli kokote kwenye hizo tuhuma, soma hapa Flamboyant Governor Joho tours the US in style – PHOTOS
Ahsante kwa facts..Hilo neno povu huwa mnajua maana yake au mnalitumia tu, wewe ulitaka ujibiwe vipi labda, maana nimekupa facts.