Wewe unafikiria kama hizo tuhuma zingekua kweli angeendelea kuwa gavana wa Mombasa hususan wa chama cha upinzani, aidha inawezakana kweli lakini awe amejilinda kwa nguvu zote kwa kufuta chochote kinachoweza kuthibitisha. Mbona juzi tu huyo huyo Joho alikua Marekani, unafikiria wale wanaweza kumuachia atie kambi kwao huko kama kuna kaukweli kokote kwenye hizo tuhuma, soma hapa
Flamboyant Governor Joho tours the US in style – PHOTOS