Mkuu wa Polisi wa Hai alishirikiana na Ole Sabaya kwenye Uhalifu, naye akamatwe haraka sana

Sahihi kama Sabaya alikuwa Mharifu OCD alipaswa amkamate lakini kwa kuwa hakumkamata basi Walishirikiana.
Isingekuwa jambo rahisi kama unavyofikiria. Jaribu kufikiri kwa kina, ukichukulia maanani hali 'hewa' iliyokuwepo wakati ule. Hata huyo Mkuu wa TAKUKURU wa sasa ambaye taasisi yake imemkamata Sabaya aliwahi kuwa RPC Kilimanjaro wakati Ole akiwa DC Hai.
 
Sahihi kama Sabaya alikuwa Mharifu OCD alipaswa amkamate lakini kwa kuwa hakumkamata basi Walishirikiana.
Kwan mama samia si alikuwa makamu angeweza kuagiza ahojiwe pia haya mambo ya magu magumu
 
Anatakiwa na yeye awe pale upanga pccb akihojiwa, kwanza kwa kumpa bunduki Sabaya awape mabaunsa wake wawe wanazurura nazo mpaka Arusha
 
na hyu mpendwa wenu asiyejuwa hata kubaka mnamuongeleaje kwani?

Huyo OCD wa Hai naye ni mhalifu vilevile akamatwe..alikuwa anashirikiana na jambazi Sabaya kwa kufumbia macho maovu yake na genge lake wazi wazi. Hana cha kujitetea katika hilo
 
Huyo OCD wa Hai naye ni mhalifu vilevile akamatwe..alikuwa anashirikiana na jambazi Sabaya kwa kufumbia macho maovu yake na genge lake wazi wazi. Hana cha kujitetea katika hilo
bado na huyu

Huyo OCD alikuwa anafanya kazi za CCM, hastahili kuendelea na hicho cheo popote pale, au kufanya kazi kwenye ofisi za umma, alionesha anawabagua watanzania kwa kuangalia itikadi zao.
Ngoja tumshikie bango
 
ninacho kiona chuki na visasi vinaweza vikazidi zaidi kuliko kama wangesameheana.
msamaha huponya kuliko mapambano.
 
Hii haishii kwa huyo OCD pekee bali pia inaishia kwa IGP mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…