ushahidi ni mahakamaniLeta ushahidi usio na shaka wa sheria alizovunja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushahidi ni mahakamaniLeta ushahidi usio na shaka wa sheria alizovunja!
OCD kumkamata Mkuu wa wilaya? Mmmh bado SANA ,kwa Hizi sheria zetu za ovyoSahihi kama Sabaya alikuwa Mharifu OCD alipaswa amkamate lakini kwa kuwa hakumkamata basi Walishirikiana.
Isingekuwa jambo rahisi kama unavyofikiria. Jaribu kufikiri kwa kina, ukichukulia maanani hali 'hewa' iliyokuwepo wakati ule. Hata huyo Mkuu wa TAKUKURU wa sasa ambaye taasisi yake imemkamata Sabaya aliwahi kuwa RPC Kilimanjaro wakati Ole akiwa DC Hai.Sahihi kama Sabaya alikuwa Mharifu OCD alipaswa amkamate lakini kwa kuwa hakumkamata basi Walishirikiana.
Kwan mama samia si alikuwa makamu angeweza kuagiza ahojiwe pia haya mambo ya magu magumuSahihi kama Sabaya alikuwa Mharifu OCD alipaswa amkamate lakini kwa kuwa hakumkamata basi Walishirikiana.
na hyu mpendwa wenu asiyejuwa hata kubaka mnamuongeleaje kwani?Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee kutendwa huyu naye ni kwamba anashiriki uhalifu huo, anapaswa kukamatwa na kuunganishwa kwenye kesi husika.
Ujumbe huu umfikie Simon Sirro ambaye ndie IGP wa Polisi Tanzania, huwezi kuendelea na OCD wa namna hii na bado ukadhani utaaminiwa. Jeshi letu la Polisi bado lina watu wengi sana waadilifu na wanaojua majukumu yao vizuri sana wanaoweza kuchukua nafasi ya huyo mhalifu.
bado na huyuHuyo OCD wa Hai naye ni mhalifu vilevile akamatwe..alikuwa anashirikiana na jambazi Sabaya kwa kufumbia macho maovu yake na genge lake wazi wazi. Hana cha kujitetea katika hilo
Wewe akikuomba utampa?Hata mbowe ametuhumiwa tena bungeni kuomba rushwa ya ngono kwa wanawake wa chadema ili wapate viti maalum.
# fly to KIA baby
Bado tuendelee kuleta ushahidi ?Lete ushahidi usiokuwa na shaka!
Ngoja tumshikie bangoHuyo OCD alikuwa anafanya kazi za CCM, hastahili kuendelea na hicho cheo popote pale, au kufanya kazi kwenye ofisi za umma, alionesha anawabagua watanzania kwa kuangalia itikadi zao.
Hawa wahalifu hawana uwezo wa kusambaza chukininacho kiona chuki na visasi vinaweza vikazidi zaidi kuliko kama wangesameheana.
msamaha huponya kuliko mapambano.
Achana na huyo mbwiga Mzee MgayaKama umesoma uzi huu na una akili timamu kila kitu kimejieleza mle
Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee kutendwa huyu naye ni kwamba anashiriki uhalifu huo, anapaswa kukamatwa na kuunganishwa kwenye kesi husika.
Ujumbe huu umfikie Simon Sirro ambaye ndie IGP wa Polisi Tanzania, huwezi kuendelea na OCD wa namna hii na bado ukadhani utaaminiwa. Jeshi letu la Polisi bado lina watu wengi sana waadilifu na wanaojua majukumu yao vizuri sana wanaoweza kuchukua nafasi ya huyo mhalifu.
Naunga mkono hojaHii haishii kwa huyo OCD pekee bali pia inaishia kwa IGP mwenyewe.