LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Tumekuwa tukilalamika ujenzi mbaya wa barabara zetu ni rahisi ajali za magari kugongana uso kwa uso. Kwa nini barabara zote kuu zisijengwe njia mbili kuepuka magari kukutana uso kwa uso? Kama bajeti ya kujenga barabara ipo, ipo tu, hakuna haja ya kujenga njia moja