Kifo ni kifoAcha usenge
Acha uongo. Mkuu ni Nerina Semeoni. Yaani, unashindwa hata kusoma text uliyoiweka mwenyewe mwanangu au ushapata gongo? Inashangaza tunavyopwakia wageni. Hivi, hatukuwa na mkuu masista na wa shule wala dereva hadi tuletewe Mtaliano na wakenya kweli? Kwa huyu mtaliano, ndiyo ukoloni wenyewe.Ikumbukwe Sista Lilian Kapongo Kama Mama Mkuu Wa Shirika Duniani ni Mtanzania Mzaliwa Lindi.
R.I.P
Sasa kienda Kenya si utaogopa hata kukatisha barabara mwanangu.Uendeshaji wa vyombo vya moto hii nchi ni majanga
Nasema sitakuja kusafiri na gari hii nchi....
Hata uwe mwangalifu vipi, unaona kabisa kifo kinakufata kutokana na uendeshaji wa madereva wa bongo
Hawana tofauti na waendesha bodaboda.....
Hapana, nimeshawahi kusafiri kupitia Tanga mpaka Mombasa to NairobiSasa kienda Kenya si utaogopa hata kukatisha barabara mwanangu.
Basi, mambo yamebadilikaHapana, nimeshawahi kusafiri kupitia Tanga mpaka Mombasa to Nairobi
Wakenya wanafata sheria sana barabarani,
Acha uongo. Mkuu ni Nerina Semeoni. Yaani, unashindwa hata kusoma text uliyoiweka mwenyewe mwanangu au ushapata gongo? Inashangaza tunavyopwakia wageni. Hivi, hatukuwa na mkuu masista na wa shule wala dereva hadi tuletewe Mtaliano na wakenya kweli? Kwa huyu mtaliano, ndiyo ukoloni wenyewe.
Mimi ni Muislam mwenzio ila hapa unaharibu, kwanza hawajakufuru hawa...kafir ni asiyemtambua kabisa Allah au aliyeshuhudia (Muislam)na hafuati aliyoelekeza AllahInnalillah wainnaa ilayhi raajiuun
Makafiri hao wawekwe wanapostahili
Ulitaka nifanyeje? Niwaombee dua ama? Wewe kasome uislam wako ujue maana ya kafir usinichosheMimi ni Muislam mwenzio ila hapa unaharibu, kwanza hawajakufuru hawa...kafir ni asiyemtambua kabisa Allah au aliyeshuhudia (Muislam)na hafuati aliyoelekeza Allah
Ndio nakuambia, KAFIR sio yeyeite tu ambaye amekufa kabla ya kufanya Shahada, unaweza ingia masjid sana na ukawa na UKAFIRUlitaka nifanyeje? Niwaombee dua ama? Wewe kasome uislam wako ujue maana ya kafir usinichoshe
Kwanza nijikumbushe na kukukumbusha kuwa hii Alfajir, muda wa ibadaUlitaka nifanyeje? Niwaombee dua ama? Wewe kasome uislam wako ujue maana ya kafir usinichoshe
Nawe pitia ulichoandika mkuu Wa Shirika Hilo ni huyo marehemu sista Lilian Kapongo na ni Mzaliwa wa Lindi.. huyo mzungu muitaliano alikuwa ni katibu mkuu Wa Shirika na hao masista wawili wakenya ni walikuwa sehemu ya Shirika Hilo wakihuduma kwenye shule...Acha uongo. Mkuu ni Nerina Semeoni. Yaani, unashindwa hata kusoma text uliyoiweka mwenyewe mwanangu au ushapata gongo? Inashangaza tunavyopwakia wageni. Hivi, hatukuwa na mkuu masista na wa shule wala dereva hadi tuletewe Mtaliano na wakenya kweli? Kwa huyu mtaliano, ndiyo ukoloni wenyewe.