TANZIA Mkuu wa Shirika la Watawa wa Wakarmeli Duniani, Lilian Kapongo na wenzake watatu wafariki kwa ajali Mwanza

Nilivyosikia tu ni Gari la Nyanza Road Works nikajua tu serikali itasimama upande wa nyanza, tayari wameshasema dereva wa gari ndogo alihama njia wakati Mwanza nzima hakuna watu wanaendesha magari hovyo kama ya Nyanza na Magari yao ni mabovu sinawahi kuona.
 
Sanaaaaa ila ndio kazi ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…