Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

Welding =weredi.
 
Amina,
kwa upande wa mzazi, aliyeshughulikia tatizo si baba mzazi bali ni baba mlezi tu, tena wakati mke amesafiri kwa majukumu yake pale nyumbani mtoto alikuwa muda mwingi anaishi peke yake kwani muda mwingi yule baba alikuwa anashinda huko mashambani. Na nyumba iko pembezoni sana na nyumba nyingine.
 

Asante sana mkuu, nakutafuta inbox
 
Wewe utakuwa umetembea na huyo mwanafunzi,haiwezekani utengenezewe zengwe kubwa namna hyo. Kwa faida ya nani? Usitafute kujisafisha hapa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240317-073151~2.png
    55.1 KB · Views: 8
Pole sana.
 
Ulikuwa unashindanana na mkuu wako..na inaonekana ulikuwa humuheshimu na hufuati utaratibu..Ukaribu na mwanamke sehemu ya kazi haijawahi muacha mtu salama
Kadri ya maelezo yangu, Ni yupi mwanamke niliyekuwa naye karibu sehemu ya kazi?
 
Kadri ya maelezo yangu, Ni yupi mwanamke niliyekuwa naye karibu sehemu ya kazi?
Kuanzia wakati unafanya mchakato wa kumuamishia ulikuwa na ukaribu na mamaake ulianza kujitengenezea maadui eneo la kazi Kwa kuingilia Kati na baadaye mwanafunzi mwenyewe ulikuwa na ukaribu ndio maana mkuu wako alikuambia uache kufuatilia
 
Pole sana
 
Hakuna sehemu watumishi wanaishi kinafiki kama shuleni naongea Kwa uzoefu,kama una duka nje ya kazi Yako utakuwa umeonewa wivu na hao walimu wenzako masikini.
Kuna kiongozi mmoja wa serikali amewahi kuniambia hivyo pia.
Hakika nimeona balaa lake, furaha yao ya pamoja ni kuona mkienda pamoja kukopa pesa, vyombo, mashuka, nyama na bidhaa madukani tena kwa riba kubwa na siyo mtu kujishughulisha!
Nilikuwa na duka ndani ya shule kisheria, nimewahi kuvunjiwa inasemekana kwa njama za walimu nikaibiwa lakini nilipambana nikaendelea, baadaye nikaongeza miradi mingine binafsi ya kuniingizia pesa kama kuuza chipsi, mishkaki, juisi na vitafunwa, walipoona biashara inasonga mbele wakaniwekea mazingira magumu sana nikafunga kibanda😭😢 Haikupita muda ndiyo likatokea hili mkuu hivyo naamini Walimu wanaishi maisha ya uadui sanaaaaa. Bado unaenda kwa AEK, CWT, na TSC Unakuta wote ni walimu tena wenye maisha ya kuungaunga tangu kwenye elimu zao😁😅😸
 
Kuanzia wakati unafanya mchakato wa kumuamishia ulikuwa na ukaribu na mamaake ulianza kujitengenezea maadui eneo la kazi Kwa kuingilia Kati na baadaye mwanafunzi mwenyewe ulikuwa na ukaribu ndio maana mkuu wako alikuambia uache kufuatilia
Pamoja kiongozi, asante kwa kunielewesha
 
Nadhani ni ishu ndogo ya wao kukaa na kupangana, Askari aliwakataa. hao wengine naomba msaada wa mawazo pia
Umeshindwa kutafuta wazee ulipokuwa unafanya kazi pamoja na wakuu wa police ukaeleza shida yako maana ukiwa umeonewa malaika wapo peupe kabisa inatia Giza sana, nadhani wewe sio mhusika Mkuu wa huu Mikasa, umeshindwa kuweka bayana ya jitihada zako katika muktadha mpana na hata na jumuia ya wazee, au hata wazee wa Baraza kwenye mahakama ya mwanzo jirani yako hapo kazini
 
Sikuweza kufanya hivyo kutokana na jinsi jambo lilivyoendeshwa mkuu, ilikuwa ni ghafla sana na kimya kimya likaenda wilayani na kutolewa maamuzi magumu. Hata wananchi wamebaki wanashangaa mpaka sasa maana sijawahi kuvutana na yeyote miaka sita nikiwa hapo. Na nilikuwa ni mjumbe wa bodi ya ushauri ya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…