masanzaone
Member
- Jul 7, 2013
- 6
- 1
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza anaejulikana kwa jina la BREGREY J. NYAKYUMA amechukua jukumu la kwenda kumshitaki mwalimu kwa mwajiri na hatimaye mwalimu huyo kukatiwa mshahara ili kusudi tu afanikishe kuchukua mke wake na huyo mwalimu. taarifa sahihi kutoka shuleni hapo kutoka kwa walimu wenzie zimesemekana kuwa mkuu huyo wa shule aliaanza kwa kumvua madaraka aliyokuwa nayo mwalimu huyo shuleni hapo yeye pamoja na mwalimu mwingine. mkuu wa shule huyu amesababisha kuvunja ndoa ya mwalimu huyo kwa kutembea na mke wake na mwalimu huyo ambae pia ni mwalimu wa shule hiyo.
mkuu wa shule hiyo amefikia mpaka hatua ya kumukataa mwalimu huyo asiendelee kufundisha katika shule hiyo kwa kumuandikia barua ya kumurudisha kwa mwajiri ili apangiwe shule nyingine ili kusudi tu atoke kwenye kituo hicho ili aendelee kutembea na mke wake. mwalimu huyo ambae mpaka sasa anaishi mazingira magumu akiwa hana mshahara huku akiendelea kulitumikia taifa katika shule hiyo pamoja na manyanyaso hayo kutoka kwa mkuu huyo wa shule pamoja na kumuachia mke. masikini mwalimu huyo amesitukia mshahara wake hauoni bila kujua hili wala lile wakati akiendelea kufundisha.
hivi kwa hali hii matokeo makubwa sasa katika sector ya elimu yatawezekana?. tunakupa pole sana mwalimu mwezetu.