Mkuu wa shule ya secondary Igoma - mwanza aenda kumshitaki kwa mwajiri mwalimu ili amunyanganye mke.

masanzaone

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
6
Reaction score
1
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza anaejulikana kwa jina la BREGREY J. NYAKYUMA amechukua jukumu la kwenda kumshitaki mwalimu kwa mwajiri na hatimaye mwalimu huyo kukatiwa mshahara ili kusudi tu afanikishe kuchukua mke wake na huyo mwalimu. taarifa sahihi kutoka shuleni hapo kutoka kwa walimu wenzie zimesemekana kuwa mkuu huyo wa shule aliaanza kwa kumvua madaraka aliyokuwa nayo mwalimu huyo shuleni hapo yeye pamoja na mwalimu mwingine. mkuu wa shule huyu amesababisha kuvunja ndoa ya mwalimu huyo kwa kutembea na mke wake na mwalimu huyo ambae pia ni mwalimu wa shule hiyo.
mkuu wa shule hiyo amefikia mpaka hatua ya kumukataa mwalimu huyo asiendelee kufundisha katika shule hiyo kwa kumuandikia barua ya kumurudisha kwa mwajiri ili apangiwe shule nyingine ili kusudi tu atoke kwenye kituo hicho ili aendelee kutembea na mke wake. mwalimu huyo ambae mpaka sasa anaishi mazingira magumu akiwa hana mshahara huku akiendelea kulitumikia taifa katika shule hiyo pamoja na manyanyaso hayo kutoka kwa mkuu huyo wa shule pamoja na kumuachia mke. masikini mwalimu huyo amesitukia mshahara wake hauoni bila kujua hili wala lile wakati akiendelea kufundisha.
hivi kwa hali hii matokeo makubwa sasa katika sector ya elimu yatawezekana?. tunakupa pole sana mwalimu mwezetu.
 
Kwani huyo mwalimu hana akili timamu? Kama angekuwa nazo angekusanya ushahidi na kumburuza huyo mkuu kwa korti. Pia anapaswa kusikiliza wimbo mpya wa Rich mavoko unaitwa Roho yangu. Akimaliza kuusikiliza kwa muda wa saa moja, atajua la kufanya. Pia atafute wimbo wa Ferouz unaitwa Bosi Wangu. Au sikilize wiki nzima atapata la kufanya kuna ushauri mzuri ambao Nature ameutoa kwenye huo wimbo. Asilie lie kama demu wakati dume zima komaa nae kama vipi physically, witchically, au chemically ukishindwa basi fanya lawcally.
 
Suala la uongozi shida kweli, nakumbuka hata daudi alimfanyia njama askari wake auwawe ili ale mzigo.

Hapo shuleni kunatatizo la kiuongozi na hakuna maelewano baina yenu.

Huyo mwalimu aende kwenye ofisi ya taaluma wilaya wajaribu kumsaidia.
 
Ndiyo taabu ya kuoa wanawake wazuri huku ukijua maisha ni ya kuunga unga! Pole zake, nae atafute mnyonge ajiliwaze huyo hakuwa wake!
 
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza anaejulikana kwa jina la BREGREY J. NYAKYUMA amechukua jukumu la kwenda kumshitaki mwalimu kwa mwajiri na hatimaye mwalimu huyo kukatiwa mshahara ili kusudi tu afanikishe kuchukua mke wake na huyo mwalimu. taarifa sahihi kutoka shuleni hapo kutoka kwa walimu wenzie zimesemekana kuwa mkuu huyo wa shule aliaanza kwa kumvua madaraka aliyokuwa nayo mwalimu huyo shuleni hapo yeye pamoja na mwalimu mwingine. mkuu wa shule huyu amesababisha kuvunja ndoa ya mwalimu huyo kwa kutembea na mke wake na mwalimu huyo ambae pia ni mwalimu wa shule hiyo.
mkuu wa shule hiyo amefikia mpaka hatua ya kumukataa mwalimu huyo asiendelee kufundisha katika shule hiyo kwa kumuandikia barua ya kumurudisha kwa mwajiri ili apangiwe shule nyingine ili kusudi tu atoke kwenye kituo hicho ili aendelee kutembea na mke wake. mwalimu huyo ambae mpaka sasa anaishi mazingira magumu akiwa hana mshahara huku akiendelea kulitumikia taifa katika shule hiyo pamoja na manyanyaso hayo kutoka kwa mkuu huyo wa shule pamoja na kumuachia mke. masikini mwalimu huyo amesitukia mshahara wake hauoni bila kujua hili wala lile wakati akiendelea kufundisha.
hivi kwa hali hii matokeo makubwa sasa katika sector ya elimu yatawezekana?. tunakupa pole sana mwalimu mwezetu.

Mkuu mbona inaonesha kama wewe ndio muhusika vile?
 
Huu ndio uandishi wa Waalimu wa Sekondari hapa kwetu Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom