Mkuu wa ujasusi wa M23 auawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani DRC

Basi bale bamutu ba congo wanapenda sana anasa na faranga, hapo wataanza kutajana mpaka aliyerusha hiyo drones kwa kupewa faranga wanauzana ,nakumbuka hadi kesho kifo cha mwanamwema wa congolee Colonel Mommadou Ndala
 
Hili jina huyo jamaa atakuwa anatisha usoni!
Mwenye pic yake tumuone
Screenshot_20240118-151441.jpg
 
Tatizo ya hayo makundi ,mkimmaliza mkubwa ndio vita inapamba moto.
 
Basi bale bamutu ba congo wanapenda sana anasa na faranga, hapo wataanza kutajana mpaka aliyerusha hiyo drones kwa kupewa faranga wanauzana ,nakumbuka hadi kesho kifo cha mwanamwema wa congolee Colonel Mommadou Ndala
Hawa wapumbavu walinikera sana kumuuza Col. Ndala.
Wale majenerali vilaza walikuwa wananuna kusikia anatajwa jina na wananchi
 
Back
Top Bottom