Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

Mkuu wewe ndio unaweza ukawa mhamiaji haramu kwenye Taifa hili ninekushtukia😆😆😆😆😁

Sasa nimekujua hunisumbui tena labda uje na zile ID zako nyingi nyingi zingine 😆😆😆😂.

Kwishney!!!
Wewe na Mwenzako Yoda hamjawahi kuwa Raia wa Tanzania na ushahidi upo na taarifa zipo wazi.

Na usiniulize nimejuaje, kwahiyo achaneni na hizo propaganda zenu.
 
Usisumbuke na huyo Mnyarwanda.
Kwenye kila thread inayohusu wanyarwanda watutsi utamuona akiwa upande wao. Anadhani kuwa Mtanzania ni kufahamu lugha ya kiswahili. Wanazurura nchi za watu na wanajua hawatakiwi.
 
kwa mfano, badala ya kufadhili waasi dhidi ya DRC kwanini Kagame asiombe JOINT OPERATION na jeshi la DRC ku-eliminate magaidi wa Fdlr-Interahamwe?
Hizi operation zimefanyika mara nyingi mno ila bado FDLR hawajaisha.

FDLR ni mabaki ya wakimbizi wa kihutu kutoka Rwanda, wao pia wana haki ya kurejea kwao.
 
Angeyasema hayo mapema, sio baada ya kukurofishana na Kagame katika kinachoonekana na mgongano wa maslahi binafsi.
kwan ccmu ss hv watakili kuwa mama anaua watu ? dadavua ayasemayo na sio kuangalia nan anasema
 
Hizi operation zimefanyika mara nyingi mno ila bado FDLR hawajaisha.

FDLR ni mabaki ya wakimbizi wa kihutu kutoka Rwanda, wao pia wana haki ya kurejea kwao.
Congo Mashariki ikiwa nchi inayojitegemea itatatua haya matatizo yote kirahisi sana.
 
Ni mkorofi tu ni sawa na kuishi na jirani mwenye tamaa ya ardhi.
Ardhi ipi Kagame anaitaka nje ya Rwanda? M23 ni Congolese wanapigania haki na usalama wao maana wacongo wanataka kuwafanyia genocide, I hope watashinda na kupata haki zao zote, stupid Africans ukabila utawamaliza msipoangalia, issue ya Congo ni very clear hata mbwa anaweza kuelewa lakini ignorance na ukabila wa Africans hauwezi kuona, acha shida na njaa viendelee kutawala Africa mpaka akili irudi
 
Huyu hata asiongee, baada ya vita ile genocide wahutu kukimbia Congo njiani ulipigwa msako alifagia woote, kuanzia Kibeho mpk ndani huko misitu ya Congo waliokimbia.
Ni kweli anatoa Siri ila hata yeye ameshiriki sana mgogoro huo, huko kwa hawa jamaa hawa wavivu na wanyonge wao hata ukiwapa bunduki wakapigane utawakuta nayo wanacheza sebene
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame.

Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika serikali ya Congo.
Anasema kagame amekuwa DRC zaidi ya miaka 30 akiwaua wahutu wa FDRL baada ya Genocide mpaka leo, na kwamba hana kisingizio tena kuhusu FDRL nchini DRC.

Anasema M23 wameibuliwa upya na Rwanda 2021 baada ya Tshikedi kuingia makubaliano na Burundi na Uganda, ndipo Kagame alichukia na kusema kama hajakaribishwa atajikaribisha mwenyewe.

Amekiri Rwanda inaiba madini Congo na kupeleka Rwanda kwa ajili ya kuyauza nje na anasema kila eneo wanaloshika M23 lenye madini, madini huanza kusafirishwa kwenda Rwanda.

Anakiri RDF inatoa sapoti ya 100% kwa M23.

Anasema Rwanda ikiikamata Kivu yote, ataivamia Burundi na huo ndio mpango.

Anakiri ndani ya Rwanda wahutu wamefungwa minyororo na kufuri hawana pa kuongelea na hawana mtetezi.

Anakiri Rwanda ina wakimbizi wengi wahutu na watusi ambao hawakubalina na sera na utawala wa kagame, na kwamba kagame asipowasikiliza kuna hatarii ya kutokea Genocide nyingine Rwanda.

Kumbuka huyu Mtusi kama ilivyo kwa kagame.

Hapa chini nimeweka interview yake yote ya leo wakati akihojiwa akiwa uhamishoni nchini Afrika Kusini.

View: https://x.com/Sentletse/status/1885998079419003033?t=XrJ7G6I2xDOUSU6Sr__OXg&s=19

Nyanwasa yuko sahihi 100%
 
PK ndiye Putin wa maziwa makuu.
 
Porojo zake tu kwa vile alishindwa kumpindua Kagame.

Ni vizuri kufahamu mapindikiz ya Rwanda🤣🤣!!

Mnatakiwa kufuatiliwa kwa karibu. Inabidi campain nyingine ya wahamiaji haramu ianze,
 
Back
Top Bottom