Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

Mkuu wewe ndio unaweza ukawa mhamiaji haramu kwenye Taifa hili ninekushtukia๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜

Sasa nimekujua hunisumbui tena labda uje na zile ID zako nyingi nyingi zingine ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚.

Kwishney!!!
Wewe na Mwenzako Yoda hamjawahi kuwa Raia wa Tanzania na ushahidi upo na taarifa zipo wazi.

Na usiniulize nimejuaje, kwahiyo achaneni na hizo propaganda zenu.
 
Usisumbuke na huyo Mnyarwanda.
Kwenye kila thread inayohusu wanyarwanda watutsi utamuona akiwa upande wao. Anadhani kuwa Mtanzania ni kufahamu lugha ya kiswahili. Wanazurura nchi za watu na wanajua hawatakiwi.
 
kwa mfano, badala ya kufadhili waasi dhidi ya DRC kwanini Kagame asiombe JOINT OPERATION na jeshi la DRC ku-eliminate magaidi wa Fdlr-Interahamwe?
Hizi operation zimefanyika mara nyingi mno ila bado FDLR hawajaisha.

FDLR ni mabaki ya wakimbizi wa kihutu kutoka Rwanda, wao pia wana haki ya kurejea kwao.
 
Angeyasema hayo mapema, sio baada ya kukurofishana na Kagame katika kinachoonekana na mgongano wa maslahi binafsi.
kwan ccmu ss hv watakili kuwa mama anaua watu ? dadavua ayasemayo na sio kuangalia nan anasema
 
Hizi operation zimefanyika mara nyingi mno ila bado FDLR hawajaisha.

FDLR ni mabaki ya wakimbizi wa kihutu kutoka Rwanda, wao pia wana haki ya kurejea kwao.
Congo Mashariki ikiwa nchi inayojitegemea itatatua haya matatizo yote kirahisi sana.
 
Congo Mashariki ikiwa nchi inayojitegemea itatatua haya matatizo yote kirahisi sana.
Hapana ......

Drc ni nchi kamili haihitaji mgawanyo wowote ule.
 
Ni mkorofi tu ni sawa na kuishi na jirani mwenye tamaa ya ardhi.
Ardhi ipi Kagame anaitaka nje ya Rwanda? M23 ni Congolese wanapigania haki na usalama wao maana wacongo wanataka kuwafanyia genocide, I hope watashinda na kupata haki zao zote, stupid Africans ukabila utawamaliza msipoangalia, issue ya Congo ni very clear hata mbwa anaweza kuelewa lakini ignorance na ukabila wa Africans hauwezi kuona, acha shida na njaa viendelee kutawala Africa mpaka akili irudi
 
Huyu hata asiongee, baada ya vita ile genocide wahutu kukimbia Congo njiani ulipigwa msako alifagia woote, kuanzia Kibeho mpk ndani huko misitu ya Congo waliokimbia.
Ni kweli anatoa Siri ila hata yeye ameshiriki sana mgogoro huo, huko kwa hawa jamaa hawa wavivu na wanyonge wao hata ukiwapa bunduki wakapigane utawakuta nayo wanacheza sebene
 
Nyanwasa yuko sahihi 100%
 
PK ndiye Putin wa maziwa makuu.
 
Porojo zake tu kwa vile alishindwa kumpindua Kagame.

Ni vizuri kufahamu mapindikiz ya Rwanda๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!!

Mnatakiwa kufuatiliwa kwa karibu. Inabidi campain nyingine ya wahamiaji haramu ianze,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ