TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

Alafu mods wanaangalia tuu
 
Alikuwa akitumia muda wa kazi kufanya ya binafsi
 
Sheikh mademu tena? Mbona unataka kuharibu sasa
Mtaalamu nilichokisema kimehapen mwanzoni mwa miaka ya 2000's na Sasa ni 2020 binadamu tunabadilika so far hakuna aliyezaliwa malaika. Na ndo maana utaona ma ustaadh au wachungaji wanatoa ushuhuda kuwa zamani walikuwa wezi au wazinzi hii haiondoi ukweli kwamba Sasa ni watu wema na wanaibadili Jamii kuwa na mtazamo chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…