idiomer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 289 Reaction score 342 Mar 26, 2026 #1 Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,009 Reaction score 22,509 Mar 26, 2026 #2 Ni mwaka jana tu mwabukusi alizungumzia hili kuhusu mfuko wa maafa... View: https://youtu.be/tiNgpSltR_U?si=IF_yjB6h7Um8qdxJ
Ni mwaka jana tu mwabukusi alizungumzia hili kuhusu mfuko wa maafa... View: https://youtu.be/tiNgpSltR_U?si=IF_yjB6h7Um8qdxJ