Ukifanya uwandishi wa kiuchunguzi Tanzania unapotea kama Azory Gwanda.Waandishi wa habari badala ya kufanya uchunguzi na kuandika kuhabarisha watanzani lakini wamejikalia kimya
Unataka wauawe?Waandishi wa habari badala ya kufanya uchunguzi na kuandika kuhabarisha watanzani lakini wamejikalia kimya
Tukaiombe BBC au DW ifanyie kazi Mana wagogo bado wanatembea na manati Hadi mjini watafurishwa bilahata malipoWaandishi wa habari badala ya kufanya uchunguzi na kuandika kuhabarisha watanzani lakini wamejikalia kimya
Ndio tatizo la kuongozwa na watoto wa watumwa.Kumetokea na sintofahamu baada ya yahati JPM kuaga dunia , mkuu wa wilaya wa wilaya ya dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi
Yeah sahizi nchi imerudi kwa wenyewe sasa mnyonge kafie mbali! Tajiri yeye anapeta tu😅Magufuli tu ndio alijali maisha ya Watanzania wote, hasa wanyonge.
Magufuli alikuwa akibana matajiri kidogo masikini wanawatetea... Sasa hivi masikini wanabanwa kwelikweli ajabu hakuna tajiri anayewatetea. 😁Yeah sahizi nchi imerudi kwa wenyewe sasa mnyonge kafie mbali! Tajiri yeye anapeta tu😅
Hao wanaondolewa kwa usalama wao na walipewa Viwanja hao mbadala tena walizuiwa kujenga maeneo hayo.BINADAMU WAGUMU SANADodoma si ndipo anapotokea Job, si ndio ngome ya ccm? Acha yawakute.
Mleta Uzi , habari kama hizi modes muziangalie ,watu elfu Kumi uwahamishe Bila sababu za musingi .(tarifa yako ni uchochezi .kama wamelipwa na hawataki Kuhama Hilo umeliangalia kabla haujaandikaka uziKumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
Hii itawahusu CHADEMA tu.
Wana-Dodoma waendelee kuinga mkono CCM.
CCM oyeee!
Shida ilikua ni nn..huenda waliopewa viwanja mbadala waliviuza..au waliuza maeneo ya awali..sasa waluonunua wamekutana na rungu la kuhamishwa.Hao wanaondolewa kwa usalama wao na walipewa Viwanja hao mbadala tena walizuiwa kujenga maeneo hayo.BINADAMU WAGUMU SANA