Mkuu wa Wilaya Jokate azuru Afrika Kusini kutangaza zao la mkonge na bidhaa zake pamoja na masuala ya uhifadhi wa wanyamapori na mazingira

Japo unatumia infinix kupost ila una point.
 
Hizi ni mojawapo ya habari za kukera ambazo vyombo vya habari au media hurepoti.

Kimsingi tunaongelea mkuu wa wilaya kuwa nje ya nchi kutangaza maswala ya wizara ya viwanda na biashara wakati kuna watu kwaajiri ya hilo jukumu na wanalipwa mshahara hawa watu.

Sasa unajiuliza alienda kwa kujiamulia mwenyewe ili Rais amuone na imtengenezee political milage au ilikuwaje akawa na tukio la hivi?!

Haya mambo yanachukiza sana kama si kukera.
 
Usiongee mengi, ameendanaye na mdada, kwani shida iko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…