DC KINONDONI: TUMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA ZOTE CHINI YA RAIS SAMIA
Akielezea jitihada zilizofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema wamepata mafanikio makubwa katika sekta zote huku akipigilia msumari namna Rais Samia alivyopambana kuokoa maisha ya mama na mtoto kwa kujenga hospitali na vituo vya afya.
Amesema Manispaa ya Kinondoni ilipatiwa zaidi ya Shilingi bilioni 5 kwa ajili ya sekta ya afya ambapo zimeoneka kupitia ujenzi wa hospitali kubwa ya kisasa ya wilaya iliyopo katika Kata ya Magwepande pamoja na kituo cha afya cha kwanza kuwahi kujengwa katika Kata ya Kinondoni.
"Tunamshukuru pia Rais Samia kwa kutupatia magari mawili mapya ya kubeba wagonjwa ambapo moja lipo katika kituo cha afya cha Kawe na lingine linatoa huduma katika Hospitali ya Magwepande na kituo cha afya cha Bunju," amesema.
DiraYaSamia