Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Wala sihemi mkuuKunywa maji kwanza alafu shusha pumzi, maana naona unahema sana
Huyo mama n mwakikish wa ubalozi wa CANADA sababu sababu ujenz wa ule uwanja umejengwa na timu ya TORONTO RAPTORS ya CANADA inayoshiriki ligi ya NBA ya marekan
Sasa unaposema NICK amehamaisha uwekezaj huo ni UONGO MKUBWA aliyehamasisha n JOKETI MWEGELO Tena ahad ilitolewa mwaka2018 n imetimizwa mwaka huu
Wala sijakupinga ila nimekuambia ukweli unajua humu jf tupo watu wengi na habari zako huwa nazisoma Sana. na nilikuwa nakuamini lakn kuanzia Sasa habari zako SITAZIAMINI KWAN ZITAKUWA NA UONGO MWINGI SANA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app