Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Sep 21, 2021 Thread starter #41 Lumwago said: Kwa hiyo ulitaka uendelee kutudanganya au? Jitu Zima linanakia uchawa tuu haya umeumbuka Sasa. Click to expand... Hicho kiherehere chako kitakuponza uachike
Lumwago said: Kwa hiyo ulitaka uendelee kutudanganya au? Jitu Zima linanakia uchawa tuu haya umeumbuka Sasa. Click to expand... Hicho kiherehere chako kitakuponza uachike
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Sep 21, 2021 Thread starter #42 Opportunity Cost said: Hongera kwake Kazi nzuri Click to expand... Kazi nzuri sana
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Sep 21, 2021 Thread starter #43 Yoda said: Mbona hajaniomba mimi nitembelee wilaya yake? Click to expand... Makurumbembe hayaruhusiwi kuja kisarawe. Pole
Yoda said: Mbona hajaniomba mimi nitembelee wilaya yake? Click to expand... Makurumbembe hayaruhusiwi kuja kisarawe. Pole
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Sep 21, 2021 Thread starter #44 konda msafi said: Wewe unatia aibu. Watu wamekuumbua badala ukae kimya ujisitri na aibu ndio kwanza unazidi kuanika ujinga wako. Click to expand... Unaumia na nini hapo? Kunywa maji kwanza
konda msafi said: Wewe unatia aibu. Watu wamekuumbua badala ukae kimya ujisitri na aibu ndio kwanza unazidi kuanika ujinga wako. Click to expand... Unaumia na nini hapo? Kunywa maji kwanza
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Sep 21, 2021 #45 Mkuu wa Wilaya hata kupiga picha hujui? Au ufupi ni tatizo, unaning'inia kwenye mabega ya mabalozi? Aibu tupu hii.
Mkuu wa Wilaya hata kupiga picha hujui? Au ufupi ni tatizo, unaning'inia kwenye mabega ya mabalozi? Aibu tupu hii.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Sep 28, 2021 #46 Countrywide said: Wewe ni mke wa nani? Click to expand... Mm ni mume wa dada yako. Sina shobo na mwanaume mwenzangu kama wewe.
Countrywide said: Wewe ni mke wa nani? Click to expand... Mm ni mume wa dada yako. Sina shobo na mwanaume mwenzangu kama wewe.