MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,777
- 2,040
Ni tukio la kwanza kabisa katika ardhi hiyo ambayo kila mtu ni mwanasheria kwa mjibu wa Rc Chalamila kuweza kutambua mchango wa kiongozi mteule wa Rais kwa kipindi alichowatumikia.
DC Machali ni Miongoni mwa ma DC wachache waliotumikia Wilaya hiyo bila kuyumbishwa na kundi lolote eidha wanasiasa au watumishi wenzake wa serikali.
Huyu mwamba kutokana na misimamo yake ameacha historia kubwa Katika wilaya ya Bukoba hasa katika suala zima la kufuata haki na kutekeleza sheria.
Mji wa Bukoba una historia ndefu Sana ya kukwama kuendelea kama miji mingine inavyopiga kasi ya maendeleo,lakini changamoto kubwa ya mji huo ni kukosa viongozi wenye uzalendo mkubwa wa mji wao badala yake wametanguliza chuki,fitina na ubinafisi wa kiwango cha stardandgauge.
DC Machali kaacha somo kwao, kazi kwao ndugu zetu Nshomile.
Ni Ma DC wachache waliopita hapo wakatouch untouchable wa Mji, akakataa majungu na fitina ya Bukoba pamoja na kwamba cha moto amekipata kwakweli.
Bukoba ni mji mkongwe Sana ila haujaendelea kabisa ukilinganisha ni miji mingine mikongwe.
Bukoba ni mji ambao kila anayeteuliwa au kupangiwa kazi za kiutumishi lazima ajutie kwanza hata kabla hajafika katika mji huo.
Kwa hiki walichokifanya kwa DC Machali kumuaga
Jamaniiii!!! Jamaniii!!
CHONKAAAAA,, ASIMWE MUNO OMUKAMA,,, Inshomile yabanzile okubadilika kwa kasi ya ajabu.