Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Well said mkuu
 
Ingekuwa hivyo unavyosema ni kweli basi leo Kenya kusingekuwa na crisis, kuna ishu kubwa kwamba watu wanapendelewa kwenye uongozi!
Nani kakuambia Kenya hayo hayapo? Tunazungumzia teuzi za Rais hapa. Na sio kila kiongozi ni mteule wa Rais. Nitajie kiongozi mmoja tuu wa kuteuliwa na Kenyatta ambaye kalalamikiwa
 
Shida ipo wapi dogo kasoma akili zipo uwezo ni mkubwa unahofu nini?

Je unaweza kututhibitishia pia kwamba mchakato wa selection kwenye hiyo position aliyokuwa nayo huko 'tanroads' nao ulizingatia usawa kwa wengine wote walio apply hiyo same position?
 

Katika sifa zilizowekwa kwenye hii post ni ipi hiyo inayompa huyu dogo sifa ya kuwa mpiganaji? Ni hiyo kufanya kazi tanroads au ni hiyo ya kuwania viti maalum?

Je mchakato wa selection kwenye hiyo position aliyokuwa nayo huko 'tanroads' ulikuwagaje? Hivi ni nani aliyekuwaga na dhamana na 'tanroads'? Embu msituchoshe na haya mautetezi yenu yasiokuwa na mantiki!
 
Ni katika kujiimarisha zaidi,qualifications is enough,you need to know somebody more than that
 

Haya ndio tunayoyapigia kelele watanzania ambao ndio wazalendo maana kiukweli taifa limekwama kwa ujinga kama huu, haya huyu tumemsikia na tunamjua na ni wa mkubwa sana, je hao wengine ambao wapo kwa sababu mjomba, baba,shangazi ni mkurugenzi!!! utakuta mnyororo ni mrefu sana. Tuna haja kama taifa tuwe serious na issue hizi ziwe fair kama ni mwanao lazima afuate taratibu ambazo wengine tunapitia na tumpe kweli kazi kwa kupitia mchujo ulio fair kwa maana baada ya kushindanishwa na magenious wenzake maana huyu dada inaoneka ni genious.... Tunahitaji kuwa serious kutoka hapa tulipo...
 
Sijui watu hawajaelewa nini....Kwani hapa kuna mahali imesemwa kuwa huyo dada hakustahili?Au mada kuna mahali imesema huyo dada hana sifa?Kwani kutoa taarifa siku hizi imekuwa ni "uhaini"?Mbona vijana humu mnatukana sana na mikwara kibao inbox?

Watu wanwapa binadamu wenzao vyeo vya malaika
 
Kwan ukiwa Rais ni dhambi kumteaua nduguyo kushika wadhifa hata kama ana sifa?
 
Hata kama ni mtoto wa Rais kosa liko wapi. Ni wapi kulikoandikwa miiko ya watoto wa Ma-Rais wasiteuliwe kushika vyeo mbali mbali aerikalini. Mbona haujahoji Hussein Mwinyi, mbona haujahoji Ridhiwan kikwete na wengine. Watu mmejaa roho mbaya tu na ndiyo maana nchi haipigi hatua ya maendeleo kwa sababu ya roho ya kwanini.
 
A leader must have the courage to act against an expert's advice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…