Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
Hata jesika anao uwezo mkubwa tu na mwakani atamaliza degree yake UDOM na atakua HR hapo TANROAD.
it is ok kama ana uwezo haina shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata jesika anao uwezo mkubwa tu na mwakani atamaliza degree yake UDOM na atakua HR hapo TANROAD.
Well said mkuuWewe unaelewa maana ya conflict of interest au unaleta ushabiki maandazi hapa. Huyo mteuliwa kwa misingi ya undugu anaweza akatumia madaraka vibaya kwa kuwadhulumu watu au kuwanyima haki kwa vile ameteuliwa kwa misingi ya nepotism. Hata kama anazo sifa, hakutakiwa kumpa nafasi kama ya ukuu wa wilaya ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi ya "Baba" yake. Je atawatendea haki wapinzani wa "baba" yake? Je mkuu wa mkoa atakuwa na uhuru wa kumuwajibisha "mtoto wa raisi"?
Kama hii habari ni ya ukweli basi tukubaliane kuwa misingi ya utawala bora imekiukwa na ifikie wakati haya mambo yawepo kwenye katiba ya nchi.
Nani kakuambia Kenya hayo hayapo? Tunazungumzia teuzi za Rais hapa. Na sio kila kiongozi ni mteule wa Rais. Nitajie kiongozi mmoja tuu wa kuteuliwa na Kenyatta ambaye kalalamikiwaIngekuwa hivyo unavyosema ni kweli basi leo Kenya kusingekuwa na crisis, kuna ishu kubwa kwamba watu wanapendelewa kwenye uongozi!
Hata mu7 hakuanza kw kukurupuka alipima upepo wa Kisasa unaendaje ndipo akahalalisha udhalimuDuh Magufuri angefanya kama Museveni Jf hapa pangechimbika kwa post
Shida ipo wapi dogo kasoma akili zipo uwezo ni mkubwa unahofu nini?
Sema unaunga mkono utawala wa Mu7kama ana watoto wenye sifa hata watano aweke kikubwa kazi!
Aisee hata majungu naona huyajui. Hivi mtu kama anao uwezo na ni ndugu wa kiongozi ina maana hasipiwe nafasi? Tafakari kwanza unapoamua kuleta hoja. Umeandika mwenyewe sifa zake na anaonesha ni mpiganaji na anafaa kushika nafasi hiyo. Sometimes tuache majungu tusonge Mbele. Hakuna tatizo lolote kwa huyo mkuu wa wilaya kupewa nafasi.
Ushauri, tafuta sifa, fanya kazi kwa bidii utafanikiwa na kushika nafasi za juu. Nchi ya Tanzania bado inaangalia merits Zaidi, waweza kuibuka toka kokote ukifanya bidii. Mfano ni wa huyo unayemlalamikia kuchagua, angalia History yake na sasa ni nani. Chapa kazi tafuta elimu, maarifa kwa bidii
ha ha ha mtoto katoka udom juzi tu ameshapanda hadi kuwa regional h.r manager....
mimi kwenye ukuu wa wilaya sijashangaa sabab ni kuteuana tu.. hata demu wako au msela wako unamteua tu ukiwa rais..
ila hiyo ya kuwa h.r manager tanroads wa mkoa wa tanga baada ya kutoka udom juzi juzi hapo ngumh kumeza
Nyerere yani waliopokea akiwa kavaa kaptula badae akasema hvyo... daaah ! wana dar in sahihi ?Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Dar es salaam ni jiji la majungu