Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Jibu swali. mtoto wa rais alipambana vipi kumwingiza babake ikulu mpaka apewe ukuu wa wilaya? usikwepeshe hoja!!!
Mbona tumeona wengi walizunguka na huyo mgombea kusaka kura lakini hawajapewa hizo nafasi?
 
aha ok unataka ujue alipambana vipi ni kwa kuzunguka nchini kumtafutia kura
Hata mie mjomba angu alizunguka mbona yupo yupo. Wengi wenye sifa zaid walizunguka! Hiyo sio sababu hata Obama alizunguka na familia yake lakini hakuteua kumpa cheo mwanafamilia
 
Sioni tatizo km anajua anachotakiwa kufanya!Tena km kalelewa ni Jpm manake uyo ni jembe pia,shida angekua kalelewa na wakwere!
Kuna raisi huko afrika ya magharibi kamteua mwanae kua makamu wa rais
 
Sioni tatizo km anajua anachotakiwa kufanya!Tena km kalelewa ni Jpm manake uyo ni jembe pia,shida angekua kalelewa na wakwere!
Kuna raisi huko afrika ya magharibi kamteua mwanae kua makamu wa rais
Aisee,upo siriaz kweli wewe?
 

Kama ana vigezo vilivyotakiwa sioni shida ya yeye kuteuliwa, japo naona shida kwenye ya namna ya kufikiri ya huyo baba mlezi! Kamlea na kumsomesha, kwa nini asimtafutie ajira ya kufaa kadiri ya taaluma yake? Hizi kazi za kuteuliwa sio za kudumu na hazina fomula!
 
Hapa issue siyo kuwa na SIFA!! Issue ni "aliye mteua na uhusiano na NAE basiiii"!!!

Mtukufu Magufuli acha mambo ya ajabu ya KiCCM CCM!!
 
naomba sifa tatu za mtu kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya,tatu tu mkuu,,,,,,,,(NEPOTISM)
1. Raia wa Tanzania
2. Uwezo wa kuyamudu mukumu.
3. Elimu ya kutosha(kwa vigezo vya rais)
4. Awe na akili timamu(asiwe amechanganyikiwa)

Niishie hapo. Je huyo binti hana hizo sifa nlizozitaja hapo juu?

Ufipa shule mlionayo ni ya hapa na pale...haya mtayajua wapi?
 

Haya, tuseme mtu cv yake ina ubora sambamba tu na ya huyo dogo, Je? ni sifa gani ya ziada anayopaswa kuwa nayo ili "abebeke" mkuu?

Alafu bado hujajibu ni sifa zipi hapo zinazowafanya mseme ni mpiganaji... Au ndio hizo qualification zake?
 

Tatizo liko wapi sasa baada ya ufafanuzi wako?
 
Mlimsema kitwanga kapewa cheo kirafiki mbona alipokosea rais alimtimua tupime kwanza utendaji wake wa kazi kabla ya kuanza kulalamika
 

Isupilo

Tetesi hii imethibitishwa?

Kama ndiyo, vema ufute hilo neno 'tetesi' ili wachangiaji tujimwage.

Kama hujathibitisha, vema umwombe radhi huyo DC mteule, na ufute hii post hapa jukwaani.
 

Kwa kipengee cha elimu yake na uzoefu wa kusimamia rasilimali watu + siasa ni wazi ana uzoefu TOSHA.

Asingeweza kuachwa kupewa uDC eti kwa kuwa ni mtoto wamwanasiasa Mkubwa. Mwache apande kuazi kuhudumia jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…