Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Jibu swali. mtoto wa rais alipambana vipi kumwingiza babake ikulu mpaka apewe ukuu wa wilaya? usikwepeshe hoja!!!imekuuma sana inaonekana alivyochaguliwa pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali. mtoto wa rais alipambana vipi kumwingiza babake ikulu mpaka apewe ukuu wa wilaya? usikwepeshe hoja!!!imekuuma sana inaonekana alivyochaguliwa pole
aha ok unataka ujue alipambana vipi ni kwa kuzunguka nchini kumtafutia kuraJibu swali. mtoto wa rais alipambana vipi kumwingiza babake ikulu mpaka apewe ukuu wa wilaya? usikwepeshe hoja!!!
Mbona tumeona wengi walizunguka na huyo mgombea kusaka kura lakini hawajapewa hizo nafasi?Jibu swali. mtoto wa rais alipambana vipi kumwingiza babake ikulu mpaka apewe ukuu wa wilaya? usikwepeshe hoja!!!
Hata mie mjomba angu alizunguka mbona yupo yupo. Wengi wenye sifa zaid walizunguka! Hiyo sio sababu hata Obama alizunguka na familia yake lakini hakuteua kumpa cheo mwanafamiliaaha ok unataka ujue alipambana vipi ni kwa kuzunguka nchini kumtafutia kura
naomba sifa tatu za mtu kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya,tatu tu mkuu,,,,,,,,(NEPOTISM)Kwahio kama amemlea na anazo sifa za kuteuliwa basi aachwe?
Kote huko aliambaa ambaa nae tu,Aisee raha sanaunakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa TANROADS
Aisee,upo siriaz kweli wewe?Sioni tatizo km anajua anachotakiwa kufanya!Tena km kalelewa ni Jpm manake uyo ni jembe pia,shida angekua kalelewa na wakwere!
Kuna raisi huko afrika ya magharibi kamteua mwanae kua makamu wa rais
Ambayo miezi nane nyuma ilikuwa chini ya nani?unakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa TANROADS
Ndo maana nikasema raha sana,kuna mdau amedokeza kuwa alishawah fanya kazi TANROADS piamtu anakulea anakusomesha bado na kazi anakutafutia..
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.
Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura
Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe
Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
kwani kuna ubaya? je kama dogo anafaa kwa nn asipewe? ila huu ni mtazamo wangu tu usinichukulie vibaya ndugumtu anakulea anakusomesha bado na kazi anakutafutia..
1. Raia wa Tanzanianaomba sifa tatu za mtu kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya,tatu tu mkuu,,,,,,,,(NEPOTISM)
Kama hauoni qualification zake ni shida hata kuargue na mtu hasiyeona. Jenga CV yako tu na utaonekana na utaweka sehemu sahihi. Kulalamika bila hatua haitakaa ikusaidie. Uzuri bado tunafuata kwa kaisi Fulani Meritocracy system ingawa kunaweza kuwa pia na Favouritism but kama ubebeki hutapewaje nafasi?