Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Kigezo kilichotumika kumpa nafasi ya ukuu wa wilaya Mh Happyness ni;
Elimu ;Masters Degree
Umri; 55 below
Weledi na kujituma kazini;
Kada; 100% CCM membership
e.t.c
 
Watu wengine bhana wanakera hata angekuwa mwanae wa kumzaa haina shida ili mradi sifa anazo.
 
Rais anateua watu wenye sifa na anaowaamini. Je huyu hata kama ni mtoto wake wa kumzaa, hana sifa ya kuwa DC? Kama anamuamini kwa nini asimtume kazi?
 
Kwan imanaanisha kuwa watoto wa rais ndo hawawez kuteuliwa kuwa viongoz wa juu wakat cfa wanazo. Hv watanzania nan kawaloga nyie toka jana mnajadili dc kisarawe amefanya nn!! Na ndo kateuliwa sasa na hatutak mijadala yenu icyokuwa na tja ulitaka uteuliwe wew ucyekuwa na cfa au unataka nan ateuliwe. Mm nina masters umr wangu miaka 78 cjaonekana huyo dada kakidh matakwa ya uteuz! Mwachen rais wangu afanye kaz mambo yenu ya vyama na siasa subirin 2020 huu wakat wa kaz tuuu kampen pemben ccm oyeeeeeeeee
 
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.

Kumbe kwneye uongozi kuna ulaji??

Why unasema vijana wajibidiishe

Yani badala ya kusema vijana wajibidiishe kwenye kazi hasa za ubunifu unataka wajibidiishe kujilamba lamba kwa viongozi ili tu wawe wakuu wa wilaya au mkoa

Poor you , shame on you and your dear family
 
Jamani si afadhali huyo kupewa wilaya je aliepewa b.o.t kwa baisikeli iliondoka
 
Katika nchi kama Marekani Rais aingiaye madarakani mara nyingi huingia na kuwajaza jamaa, marafiki na watu wake wa karibu katika nafasi nyingi nyeti.

Tofauti ya wateuliwa hao na hawa wetu ni kwamba wale wa Marekani huchapa kazi kwa moyo na kuhakikisha hawamwangushi aliyewateua na hawa wa kwetu hudhani wameangukiwa na neema ya kutengeneza utajiri. Mara nyingi humwangusha aliyewateua.

Inavyoonyesha huyo dada ana elimu ya kutosha mwacheni achape kazi nadhani hatamwangusha mh Rais, anaweza kuwa mfano mzuri wa kuigwa wa kutomwangusha aliyemteua kama Kitwanga alivyomtwanga chini rafikie aliyemteua.
 
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
Kama ni mwanaye, amesoma vizuri na amewahi kuwa Meneja wa Taasisi kubwa kama TANROADS basi hata huo Ukuu wa Wilaya aliompa ni cheo kidogo, angempa tu hata ukatibu mkuu. Si ana sifa jamani
 
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.

Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happynes Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura

Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe

Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.

So what?
 
Kumbe kwneye uongozi kuna ulaji??

Why unasema vijana wajibidiishe

Yani badala ya kusema vijana wajibidiishe kwenye kazi hasa za ubunifu unataka wajibidiishe kujilamba lamba kwa viongozi ili tu wawe wakuu wa wilaya au mkoa

Poor you , shame on you and your dear family
Jenga hoja tu mkuu yomboo sio lazima uingize na familia
 
Back
Top Bottom