Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
- Thread starter
-
- #41
Mkuu alianza U DC tangu enzi za chama kimoja ,hadi Miaka ya tisini.Ninachojua Mimi
Wakuu wa Wilaya nadhani na wakuu wa mikoa na mawaziri hawa wanaoteuliwa kila baada ya miaka 5
Kila ikifika muda wao hupewa mafao yao...ili kusubiri uteuzi mwingine
So babako alikuwa anapokea kila akimaliza miaka 5.
Hiyo ya 2M itakuwa ya mwaka mmoja huo wa 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
... hawa ma-DC sio wale wanaoamrisha vyombo vya dola?
Tanzania bado tuna safari ndefu sana kama mkuu wa wilaya mstaafu hajui hata haki zake , yaani mtu ambaye amekuwa kiongozi wa ulinzi na usalama kwa miaka 16 katika wilaya usika tuanze kumtetea je walimu na manesi itakuwajeView attachment 1061975
Aende lumumba atapata msaada polepole atamsaidia najua huyu ni mpiga kura sugu wa CCM
Mkuu wa wilaya mstaafu naye anahangaikia mafao.?
Noma sana.
Hakuwahi kutumbuliwa,alirudi Wizarani.Ni kweli kabisa
Hawa watu huwa wanaheshimiwa Sana popote
Huenda alitumbuliwa ndio maana anakosa kuheshimiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi pensheni zao zipo kwenye political leaders pension scheme wao hulipwa kila baada ya miaka mitano kama wanavyolipwa wabunge labda atuambie ni lini mzee wake aliacha kuwa Mkuu wa wilaya kama ni kabla ya wakuu hawa kuingizwa kwenye political leaders pension scheme hapo HAZINA wanahusikaNinachojua Mimi
Wakuu wa Wilaya nadhani na wakuu wa mikoa na mawaziri hawa wanaoteuliwa kila baada ya miaka 5
Kila ikifika muda wao hupewa mafao yao...ili kusubiri uteuzi mwingine
So babako alikuwa anapokea kila akimaliza miaka 5.
Hiyo ya 2M itakuwa ya mwaka mmoja huo wa 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hapo ndio pakuanzia. Hawa DCs na RCs hawajui kuwa watumishi wanao waweka SAA 48 ndio watakao dili na mafaili yao wakistaafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mfano halisi wa roho mbaya ya CCM
Hili la kuzuia mikutano ya hadhara simtetei Mzee wa msoga,lilianzia kipindi hiki cha Jiwe!
Ni Hazina Mkuu,ilikua kabla na baada ya hapa alihamishiwa wizara ya Maendeleo ya JamiiUpo sahihi pensheni zao zipo kwenye political leaders pension scheme wao hulipwa kila baada ya miaka mitano kama wanavyolipwa wabunge labda atuambie ni lini mzee wake aliacha kuwa Mkuu wa wilaya kama ni kabla ya wakuu hawa kuingizwa kwenye political leaders pension scheme hapo HAZINA wanahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa ccm mmetesa sana watu, malipo ni hapahapa duniani.Alisaidia kuzuia mikutano mingapi ya hadhara au kuwaweka raia wangapi ndani masaa 48 wakati wa utendaji wake!?
Tuanzie hapo
Aandike barua ya wazi kwa Mh.Raisi na kuichapisha kwenye magazeti.Mkuu kapita kote,Ni kuzungushwa tu Takribani Miaka 10 na zaidi sasa.
Anatamani kumfikia tu Mhe Rais,bila mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
JK kidogo alikuwa na soni huyu wa sasa USO wa mbuzi mwanzo mwisho!Wote ni ccm tu
In God we trust