Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
- Thread starter
- #41
Mkuu alianza U DC tangu enzi za chama kimoja ,hadi Miaka ya tisini.Ninachojua Mimi
Wakuu wa Wilaya nadhani na wakuu wa mikoa na mawaziri hawa wanaoteuliwa kila baada ya miaka 5
Kila ikifika muda wao hupewa mafao yao...ili kusubiri uteuzi mwingine
So babako alikuwa anapokea kila akimaliza miaka 5.
Hiyo ya 2M itakuwa ya mwaka mmoja huo wa 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwahi kulipwa kwa utaratibu huo unaousema na baada ya hapo alirudi wizara ya Maendeleo ya Jamii Kama umenisoma,so haiko hivyo unavosema
Sent using Jamii Forums mobile app