K Kakumamoto JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 1,237 Reaction score 1,696 Jun 18, 2024 #101 Tunamsaidiaje mtu tusimyejua?! ANAITWA NANI? MaCCM yana roho mbaya hadi yanajisahau yanamnyoosha mwenzao.
Tunamsaidiaje mtu tusimyejua?! ANAITWA NANI? MaCCM yana roho mbaya hadi yanajisahau yanamnyoosha mwenzao.
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Jun 18, 2024 #102 Kitu ninachoendelea kujifunza ni kwamba kutegemea mafao kutakuja kutuua njaa. Tujitahidi kufanya uwekezaji tukiwa na nguvu, tusije kudharirika uzeeni
Kitu ninachoendelea kujifunza ni kwamba kutegemea mafao kutakuja kutuua njaa. Tujitahidi kufanya uwekezaji tukiwa na nguvu, tusije kudharirika uzeeni