DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tunamsaidiaje mtu tusimyejua?! ANAITWA NANI? MaCCM yana roho mbaya hadi yanajisahau yanamnyoosha mwenzao.
 
Kitu ninachoendelea kujifunza ni kwamba kutegemea mafao kutakuja kutuua njaa. Tujitahidi kufanya uwekezaji tukiwa na nguvu, tusije kudharirika uzeeni
 
Back
Top Bottom