DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwenye hizi kesi ndogo wanazimaliza wenyewe zile kesi kubwa za mapapa ndio inabidi wamuulize manake kuna nyigine ukizigusha nchi inapasuka siku iyo iyo inabidi kuzipotezea
Kazunguka sana mkuu,Miaka zaidi ya kumi anahangaika ujue kapita kote,nia sasa ni kumfikia Mhe Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yuko NSSF Kinondoni aende akamuone Meneja wa Madai Kinondoni. The guy is very smart

You are strong than what you think...
Amekata tamaa baada ya kuhangaika kote huko,Miaka zaidi ya kumi kwa sasa ni mgonjwa,
Angependa kilio chake kimfikie Mhe Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu wakuu,
Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini Takribani Miaka kadhaa iliyopita
(Zaidi ya kumi)
Alikua Mkuu wa Wilaya (Wilaya tofauti tofauti kwa Takribani Miaka 16)
Kisha wizara ya Maendeleo ya Jamii hadi kustaafu kwa mujibu wa sheria.

Kinachosikitisha Ni Mafao kiduchu aliyolipwa (Tsh Milion mbili tu)
Baada ya kufatilia sana ilifika akaambiwa ajisaidie ili asaidiwe (yani ili asaidiwe akubali kugawana Mafao yake na hao watakao msaidia)

Kilichofanya nilete jukwaani hapa ni michango yenu na ushauri wenu ili kilio chake kiweze fika mahala husika

Ikiwezekana kuonana na Mhe Rais ,
Kwani amekua akisumbuka kwa zaidi ya Miaka 10 kufatilia bila mafanikio na kwasasa Ni mgonjwa anaelekea kupata ganzi mwilini bila kupata haki zake.

Amekua mtiifu nakusumbuka bila mafanikio.
Documents zote Original anazo endapo zitahitajika mahala husika.

Na kwasasa yupo Temeke anapoishi.

NB ;amepita ngazi husika kwa zaidi ya Miaka 10 bila mafanikio.

Natanguliza Shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala rushwa wana mioyo migumu sana. Nakumbuka mzee sozigwa alisumbuliwa kuhusu mafao hadi anaaga dunia sijui kama walimlipa. Hao hua wamepofushwa ni kizazi cha nyoka. Hawaelewi historia au haki wanawaza kwa tumbo zao tu ndio maana akitokea muadilifu kuwafuatilia wanashikwa mara moja.
 
Basi kuna tatizo pahala hulijui au hutaki kulisema wazi

You are strong than what you think...
 
pole sana,umetonosha donda langu sugu kuhusu mafao waliokuwa wafanyakazi wa EAC(NA TUELWE HII FEDHA HAIKUWA YA SERIKALI YETU)wao wakaitumia ikiwa ni pamoja na kugharimia ile vita ya mwaka ule...na nchi jirani...
 
Amekata tamaa baada ya kuhangaika kote huko,Miaka zaidi ya kumi kwa sasa ni mgonjwa,
Angependa kilio chake kimfikie Mhe Rais

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninachojua Mimi
Wakuu wa Wilaya nadhani na wakuu wa mikoa na mawaziri hawa wanaoteuliwa kila baada ya miaka 5

Kila ikifika muda wao hupewa mafao yao...ili kusubiri uteuzi mwingine

So babako alikuwa anapokea kila akimaliza miaka 5.

Hiyo ya 2M itakuwa ya mwaka mmoja huo wa 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani pensheni nani analipa?,si ni haya mashirika kama pspf?,sasa hapa tatizo liko wapi hasa kama alikuwa mtumishi wa serekali?
 
Hao ma dc ndiyo walikuwa mbelembele kuzurumu ushindi wa wapinzani wacha aisome namba ndiyo mjue rangi halisi ya ccm
Heshima kwenu wakuu,
Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini Takribani Miaka kadhaa iliyopita
(Zaidi ya kumi)
Alikua Mkuu wa Wilaya (Wilaya tofauti tofauti kwa Takribani Miaka 16)
Kisha wizara ya Maendeleo ya Jamii hadi kustaafu kwa mujibu wa sheria.

Kinachosikitisha Ni Mafao kiduchu aliyolipwa (Tsh Milion mbili tu)
Baada ya kufatilia sana ilifika akaambiwa ajisaidie ili asaidiwe (yani ili asaidiwe akubali kugawana Mafao yake na hao watakao msaidia)

Kilichofanya nilete jukwaani hapa ni michango yenu na ushauri wenu ili kilio chake kiweze fika mahala husika

Ikiwezekana kuonana na Mhe Rais ,
Kwani amekua akisumbuka kwa zaidi ya Miaka 10 kufatilia bila mafanikio na kwasasa Ni mgonjwa anaelekea kupata ganzi mwilini bila kupata haki zake.

Amekua mtiifu nakusumbuka bila mafanikio.
Documents zote Original anazo endapo zitahitajika mahala husika.

Na kwasasa yupo Temeke anapoishi.

NB ;amepita ngazi husika kwa zaidi ya Miaka 10 bila mafanikio.

Natanguliza Shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Muandikie barua Rais au ukiweza nenda bungeni Dodoma,mtafute waziri WA utumishi.Pambana mkuu
Wacha alipe maumivu ya wapinzani alio shiriki kuwanyima haki zao

In God we trust
 
Back
Top Bottom