Mkuu wa Wilaya na afisa Elimu Mkuranga washindwa kuwalipa Walimu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
kada wa ccm;a.k.a mkuu wa wilaya ya mkuranga ndugu mess tarehe 12,3,2014 aliwaita walimu wa sekondari pamoja na shule za msingi ili kujadili kero zao na kutatua kero hizo,moja ya kero za walimu wa pande zote mbili ilikuwa ni ugonjwa wa kushindwa kusoma,kuandika na kuhesabu suluhisho ambalo lilitolewa na uongozi afisa elimu a.k.a mbegu pamoja na kada ni kuwa fedha za mafunzo ya k.k.k zipo bado tu kupanga siku;siku ya jana walimu wanao husika na k.k.k waliitwa kupata mafunzo,baada ya kumaliza mafunzo walimu waliuliza fedha za haya mafunzo ziko wapi?majibu yalikuwa hivi serikali haina pesa.Sasa nauliza swali wewe afisa elimu na mkuu wa wilaya mlikwenda kisiasa au kiutendaji?Najua mpo humu.
 
Wote hao ni makada wa ssm,wewe fanya yako achana nao watakuumiza kichwa
 
Mleta sredi sijaelewa tujadili lipi.

1. ccm
2. Afisaelimu na Mkuu wa wilaya?
 
Jamani kuna haja ya wasomi wote kuanzia sekondari wasome critical thinking and argumentation. Maana wengi wanakosa hii elimu muhimu. Kuna kitu tunaita argument against person ndicho kakosea mleta uzi badala ya kulenga alichoahidi mkuu wa wilaya na ofisa elimu analenga ccm pia kitu ambacho ni kazi kujenerolaise. Two premises of contrary ideas can't bring logical argument.
 
Aka Majoya,ni huyu jamaa alikua Bagamoyo akahamia huko,sitamsahau alivyonikatia mshahara wangu kisa nisisome!huyu mzee ni muuaji na angetakiwa afanye kazi talebani,nina hasira ngoja nitoke jf kwanza
 
Hawa jamaa wamejaa siasa dawa ni kuahidiana nao kwamba kesho tutakua pamoja kwenye kikao then walimu wote hamtokei mkiwa na ripoti feki za mahospitalini kwamba mlikua mnaumwa afanye kikao na viti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…