kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
kada wa ccm;a.k.a mkuu wa wilaya ya mkuranga ndugu mess tarehe 12,3,2014 aliwaita walimu wa sekondari pamoja na shule za msingi ili kujadili kero zao na kutatua kero hizo,moja ya kero za walimu wa pande zote mbili ilikuwa ni ugonjwa wa kushindwa kusoma,kuandika na kuhesabu suluhisho ambalo lilitolewa na uongozi afisa elimu a.k.a mbegu pamoja na kada ni kuwa fedha za mafunzo ya k.k.k zipo bado tu kupanga siku;siku ya jana walimu wanao husika na k.k.k waliitwa kupata mafunzo,baada ya kumaliza mafunzo walimu waliuliza fedha za haya mafunzo ziko wapi?majibu yalikuwa hivi serikali haina pesa.Sasa nauliza swali wewe afisa elimu na mkuu wa wilaya mlikwenda kisiasa au kiutendaji?Najua mpo humu.