LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara.

DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza Wananchi kuendelea kujitokeza Ili Kushiriki zoezi hilo la Kuchagua Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa pamoja na Wajumbe katika eneo hilo.

Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam ina jumla ya mitaa 159.


 
Back
Top Bottom