Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo, Edward Mpogolo, amesema kiongozi wa serikali hawezi kutenganishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ndiyo msingi wa kazi alizopewa kusimamia.
“Wewe ni kiongozi wa serikali, unasimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, maana yake ni mjumbe wa kamati. Kwa sababu kama wewe unaona hii ni ilani ya CCM, ndiyo uliyopewa kukabidhiwa kuifanya. Sasa kama CCM chenyewe hukipendi, maana yake utakachofanya ni nini?” amesema Mpogolo.
Amesisitiza kuwa utekelezaji wa ilani unalenga moja kwa moja katika kuboresha maisha ya wananchi kupitia miradi ya maendeleo na huduma muhimu za kijamii.