chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je, huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka